Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Dakika ya 65,
Simba 4-2 Sevilla

Mpira wanaocheza Simba ni wa Ulaya kaaaaabisa, Sevilla walipofunga goli la pili ni kama kipofu ameuza redio na kununua TV maana Simba kaongeza LA NNE.

Simba hoyeeeeeeee!
Oooh kumbe[emoji23][emoji23]
 
Kocha wa simba hana uwezo ila kapata tu bahati timu inaongozwa vizuri na pesa ipo.
 
Vipi Tp mazembe, Waydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Mamelod Sundowns mmeshamalizana nao? Embu jitahidi mmalizane nao ili level za hao uliowataja mkakutane nao FIFA Club World Cup na sio humu kwenye mabonanza
waambie mkuu
 
simba mmelidhalilisha sana TAIFA kimataifa kila siku mnapigwa tano bora hata tungewapa hiyo nafasi Nyamungo Fc wasingefungwa magol yote hayo
 
Yan leo sina ham hata ya tendo la ndoa Simba mmeniweza kweli sijui baba chanja nitampaje acha nilale sebulen tu ....
 
Back
Top Bottom