Nimezipata zote Mtani. Na yale ndio maisha ya soka. Huwezi sema kwamba angemalizia mpira Yanga wakati ipo sehemu ambapo anaeza pata kikubwa zaidi.
Kila la kheri kwake Mtani. Japo kama nawaona mlivyoumia kimoyo moyo kwani mazembe wamewapiga bao la kisigino.