Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Hahahaaaa. Mwamshe tu best kisha mwambie siku ingine ashangilie after 90 Mins.

Sababu watu kama wale dkk tano nyingi kwao kubadilisha matokeo.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Subir achelewe Kazini ndo itapendeza

Mimi nipo rikizo Mambo swaafi
 
King Ngwaba nimeona like yako sehemu. Walahi leo umejua kupita kimya kimya. Pole Mtani.

Pole sana Mtani histori imeingia doaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Tungechungulia tu kwenye huu uzi Mkuu. πŸ˜€

Japo niwajuavyo tungetafuta pa kujificha kwani mna maneno makali mbaya.

Wangeshinda hii thread ingefika PG 60 muda huu.....wenyewe kwa wenyewe πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Simba:tumebakwa mara tano ila kwa mbinde
Me:
IMG_20190419_124747.jpeg
 
King Ngwaba nimeona like yako sehemu. Walahi leo umejua kupita kimya kimya. Pole Mtani.

Pole sana Mtani histori imeingia doaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Mimi na Mpira wa Tanzania Wapi na Wapi? Mimi ni Mshabiki wa Mpira wa Ulaya tu! Huu uzi haunihusu
 
HISTORIA IMESHAANDIKWA:

Simba SC Ndiyo Timu Ya Kwanza Tanzania Kucheza na Timu Inayoshirika Ligi ya Sapain (La Liga) na inayoshiriki Champion League.

Mchezaji aliyecheza LA LIGA (Barcelona) na EPL (Man City) ambaye Jesus Navas amekuja Tanzania Kucheza na Simba SC tu, Na haitotokezea tena kucheza na Club yoyote Tanzania isiyokuwa Simba.

Najua Vyura FC watanuna lakini historia ndiyo imeshaandikwa na Haitofutika.
 
Back
Top Bottom