Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10Wana yanga wamekua wanyonge sana. Maana wanajua wamebakiza mechi 4tu wakati simba ana mechi 10 mkononi hata akipoteza 5 akashinda 5 atakua bingwa kwa uwiano wa magoli uondio ukweli yanga wajipange mwakani.
KUMB: umebakiza game 4 tu mkuu...Mbumbumbu wakisikia hivi wanapagawa
Jibu na hili swali, Ni ligi gani duniani ambayo timu inaweza kucheza mechi 8 kama mwenyeji mfululizo tukiondoa mbili alizocheza na KMC na SIMBA MNYAMAMbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
Viko 10?Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
Vilifika11Viko 10?
Biashara anaweza mkazia yanga kiutani utani tuYanga kabakisha mechi na wapinzani gani ukimtoa Biashara?
Nataka kuwajuwa wapinzani wengine na atacheza nao wapiBiashara anaweza mkazia yanga kiutani utani tu
10 maana yake atamaliza ligi kabla ya Yanga... viporo ni 6 ili awe sawa na mwenzie.Viko 10?
Yanga amebakiza 1 ugenini ambayo ndiyo inafuata na Biashara, 3 nyumbani Ruvu Shooting, Mbeya City na AzamYanga kabakisha mechi na wapinzani gani ukimtoa Biashara?
Huyu Makambo akimiminiwa Krosi na Zana anaweza kufunga magoli kama YoteMakambo ni hatari kwa vichwa
Unamaanisha hata Beki wa Mwisho wa Yanga akicheza rafu kwa mshambuliaji asipewe kadi nyekundu kwa mujibu wa sheria?au unamaanisha Simba asiongezewe dakika za nyongeza??Lig ingekua fair...yanga angekua bingwa msimu huu
Simba kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zakeUnamaanisha hata Beki wa Mwisho wa Yanga akicheza rafu kwa mshambuliaji asipewe kadi nyekundu kwa mujibu wa sheria?au unamaanisha Simba asiongezewe dakika za nyongeza??
Viporo unapewa point za bure au lazima ucheze utafute points na ukutane na timu kama Kagera humohumo??Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
Mimi naòna poa, je wewe Unaonaje?Vyura mnaonaje matokeo yakibaki hivi hivi hadi mpira kwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandaziSimba kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake
Hivi na Mimi nikikuambia hivihivi kiboyaboya tu kuwa Yanga kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake Utaniambia nini???Simba kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake
Hahaha unataka nizitaje? Na mazingira yalivyoandaliwa,halafu mipango waliianza walivyotolewa na mashujaa.Hivi na Mimi nikikuambia hivihivi kiboyaboya tu kuwa Yanga kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake Utaniambia nini???
Unajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi
Yes.....Naona Yanga wana vitambaa vyeusi. Ni msiba wa legend Mengi au kuna kingine?