Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
wewe team Membe mkubwa,huyo Membe hamna kitu,huko umepotea njia,Shughuli imeanza rasmi, kwa sasa yupo mzee Yusuph anatumbuiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe team Membe mkubwa,huyo Membe hamna kitu,huko umepotea njia,Shughuli imeanza rasmi, kwa sasa yupo mzee Yusuph anatumbuiza.
Nyie hamna watu wenye sifa ya kuwa Rais zaidi ya Lipumba na Safari!
membe akiwa rais...ninaomba uraia wa kenya
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!
sina ninalolijua mkuu , unaweza kukuta labda ndio meneja wa kampeni .Nauliza tu, huyo mama aliyeko pembeni yake ndio mkewe?
haya haya tena ! magamba yanaendelea kuparurana ! , UKAWA tunawacheki , mzoga unaodondoka tunautupa jalalani .
Wakati Yeye Akijianda Kucheza Hizo Mechi Zake Tatu Ulizomtajia Hapo Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo Kaisha Maliza Ligi Nzima Na Ndiyo Rais.
Sii membe tu.ccm haiwez kurud ikulu..wanachopigania ni kutafuta idad ya wabunge
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!
Yaani huwezi kuongea bila kutaja UKAWA!! Hapa sasa UKAWA inaingiaje wakati CCM mnatifuana wenyewe kwa wenyewe.
Unauliza Ukimwi Makete?