Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Namkubali sana home boy wangu Membe. Wamwera tumesoma wallah wacha tu tuwatumikie watanzania.
 
Naona kuna makocha wakongwe Sir George Kahama anamnoa Membe na Kinjekitile Ngombare Mwilu anamnoa Lowassa.

Kumekucha...
 
Ila pamoja na mambo mengine, CCM tuna hazina ya viongozi! Yani mara hapa Membe, mara kule Makongoro, mara huku Lowassa, mara pale Mwigulu....wote hao wanapiga debeko tu...CCM itapewa ridhaa tu.
 
Safari ya matumaini
Ila ukitumainia kwenye vidonge vikiisha jua umekisha.mambo ya membe huko lindi duuu ccm kazi mnayo
 
Wakati Yeye Akijianda Kucheza Hizo Mechi Zake Tatu Ulizomtajia Hapo Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo Kaisha Maliza Ligi Nzima Na Ndiyo Rais.

Namkubali sana Membe ila kwa Muhongo wacha tu home boy ampishe Muhongo anatufaa.
 
Kufa kirahisi kihivyo aisee bado sana tu safari bado ni ndefu na mwaka huu hakuna mteremko ka miaka ya nyuma. Kazi ipo.

Kwani wanawake mnataka makuu? Mwanaume akiwa handsome tu inatosha sana kwenu. Na sasa tumepanga tuzizoe kura kivyovyote vile.

Kama u-handsome uta-matter kwenu basi Membe tutampa urais huku Makongoro akiwa makamu wake...hatutaki habari za ubara wala visiwani kwa sasa.
 
Mbona huyu Membe na JK wanatuchanganya?

Nimemwangalia Membe akiwa na mke wake yani hizi sura zimefanana na zile za Jk na first lady
 
Huyu Mzee wa Lindi anawapiga madogo Ukawa anasema siyo UKAWA ni UKIWA.

Daah!!! Huyu Mzee bana nuksi sana.
 
Umesema kweli hata Jk 2005 eti walikua wanamsifia mno. Ndo mana hyo mvuto huongeza kitu kidogo ila si kwa zama hizi aisee.

Haa ha ha, Mmebadilika lini Diva?subiri kampeni zianze tuanze kuwasikia tena
 
Kuna Mzee amejaaliwa kwa MIPASHO:- anasema kuwa kuna safari za aina Tatu: 1. Safari ya Majaribio, 2. kuna safari ya Matumaini 3. kuna Safari ya Uhakika... anasema kuwa UKAWA = UKIWA !!!
 
Back
Top Bottom