Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
kinacho nishangaza zaidi hadi matambiko watu wanayafanya lakini wanasema ni chaguo la mungu. Itajulikana tu,wengine sijui kama watafika hiyo oct salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutakubali kuongozwa na wacheza ngoma tena
Wala sijazidiwa ila naangalia maslah ya taifa kwanza na sio wana kusini tu mimi nipo kizalendo zaidi.
mkuu umeongoza maneno yako hapo."Dj tupe mziki ili Mh. Membe acheze kidogo, maana huyu Mh. wetu ajachoka kama yule"
kazi ipo
Ni mtu na mdogo wake, toka nitoke.
Hata mimi nasubiria kampeni aisee mwaka huu ngoma nzito. Hivi huyu babu anaongea nini jamani?
Kwani wanawake mnataka makuu? Mwanaume akiwa handsome tu inatosha sana kwenu. Na sasa tumepanga tuzizoe kura kivyovyote vile.
Kama u-handsome uta-matter kwenu basi Membe tutampa urais huku Makongoro akiwa makamu wake...hatutaki habari za ubara wala visiwani kwa sasa.
Ufafanuzi,Membe ni mwera sio mmakonde,Na Tanzania tangia ianze haijawahi kutoa Rais Mmakonde!!
Mkapa ni mmakua!!
Mkuu wahurumie wenye simu za mchina una quote bandiko lote la nini..AhahahaKila mtu anasema ni chaguo la Mungu. Najiuliza ni Mungu huyu huyu tunaemwamini ama wenzetu wanae mungu wao.