Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona jukwaa kuu vibaraghashia vingi?
Mwenzangu nimechekaje?
Mwe! Mwe! Mwe!
membe anatambika uwanjani,dah kweli ushirikina una safari ndefu
Tupo pamoja katika hili... nipo jirani sana na Mheshimiwa Membe na kiukweli huyu bwana kwangu ni zaidi ya ujirani na kila ninapomwangalia nahisi kama ni usaliti lakini potelea mbali, linapokuja suala la Muhongo, itabidi Membe aniwie radhi kwa kwel... naamini kura yangu moja haiwezi kumwangusha lakini itabidi niikabidhi kwa profesa!!!!Wala sijazidiwa ila naangalia maslah ya taifa kwanza na sio wana kusini tu mimi nipo kizalendo zaidi.
Mwaka huu hatutumii hicho kigezo tumejifunza kutokana na makosa. Haturudii tena.
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!
membe akiwa rais...ninaomba uraia wa kenya