Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mnataka na membe nae awe rais? Mbona mlishatoa rais wa awamu ya tatu bado hamkuridhika? Ina maana makabila mengine hakuna wanaofaa?
Jiheshimuni bwana hata sisi waluguru watani zenu tunautaka huo.
Kwahiyo unataka kusema mke wa Membe kafanana na Salma?
Mbona huyu Membe na JK wanatuchanganya?
Nimemwangalia Membe akiwa na mke wake yani hizi sura zimefanana na zile za Jk na first lady
Hahahahaa mbona huuleweki wewe? Ushaona mmezidiwa nini?
Haa ha ha, Mmebadilika lini Diva?subiri kampeni zianze tuanze kuwasikia tena
Hivi Watanzania mnajua kuwa Membe amekuwa shushushu kwa miaka zaidi ya 20? Tangu enzi za mwalimu Nyerere.