Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Hivi kwa hiyo strategy yenu ya kuwa mabubu na kuona aibu kuwatangaza wagombea wenu unadhani mtaingia Ikulu?
pole sana mkuu , hii mbinu ya ushindi ya wapinzani hata Kinana imemchanganya sana !
 
Sasa Sir George Kahama anaongea..wenye kujua huyu mzee anamaslai gani?
 
Ccm demokrasia imekomaa kama marekani vile,ila kwenye saccos yetu ile ukipingana tu na yule babu mzinifu lazima uitwe msaliti
 
Hivi Watanzania mnajua kuwa Membe amekuwa shushushu kwa miaka zaidi ya 20? Tangu enzi za mwalimu Nyerere.
 
Wakati MC akimkaribisha Joji Khama kwenye jukwaa kuongea kwenye mkutano wa kutangaza nia amenukuliwa ''Joji Khama ndo alikua akitumwa na Mwlimu Kwenda kufuatilia mipango ya mapinduzi''
 
Naona Sir. amesema kuwa "Membe anachukia ufisadi" yani hilo neno "UFISADI" Utazani kataja jina la .......
 
Haya tena pro-Chadema uwanja wenu tena wakuwajadili wagombea wa CCM maana hii fursa Chadema hamna.

Chadema wao tayari wanaye mgombea wa maisha wa urais Dr.Slaa ni marufuku kupingana naye lazima ushambuliwe na uitwe msaliti na kufukuzwa ndani ya chama.

Karibuni sana makamanda.
 
Akiteuliwa kugombea, picha itamsaidia kumpa kura za wamama.

Nakumbuka ata chuo sie tusiokuwa "presentable" tulikuwa tunadisadvantage kwenye angle hiyo maaba viumbe wetu hawa kitu cha kwanza walikuwa wanangalia muonekano wa mtu.Mitaani, vijijini na uswahilini ndio usiseme.

Umesema kweli hata Jk 2005 eti walikua wanamsifia mno. Ndo mana hyo mvuto huongeza kitu kidogo ila si kwa zama hizi aisee.
 
Umesema kweli hata Jk 2005 eti walikua wanamsifia mno. Ndo mana hyo mvuto huongeza kitu kidogo ila si kwa zama hizi aisee.

Acha kutudanganya hapa. Wewe mwenyewe kwa maandishi yako unadhihirisha wazi kabisa kuwa umekufa kwa Membe.
 
Kwani mkuu ulikuwa hujuhi hilo?
Namsikiliza Kahama hapa lakini nachukizwa na watu wanaopiga makelele kama wako kwenye Ngoma.
 
Rais atakaye chaguliwa ni wa watanzani wote, hata wamakonde wakitoa mara kumi ili mradi hao marais wana uwezo, shida ni nini? Acha ukabila mkuu, hauna faida yeyote!

Tuliambiwa, faida ya makabila ni kutambika tu.....! Acha dhambi ya ubaguzi
 
Naona kimakonde kinatawala Mtama ... eti membe amehudumu kabla ya Uhuru - Sir George Kahama ...
 
Acha kutudanganya hapa. Wewe mwenyewe kwa maandishi yako unadhihirisha wazi kabisa kuwa umekufa kwa Membe.

Kufa kirahisi kihivyo aisee bado sana tu safari bado ni ndefu na mwaka huu hakuna mteremko ka miaka ya nyuma. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom