Lema una lingine?
Raisi wa mtwara.Membe copy and paste kwa EL, naona anashangiliwa eti Rais
Mtu wao yupi? Mkuu lini Ukawa tutawajadili wagombea wake au yupo mmoja tu Dr.Slaa ukimpinga unafukuzwa kama Panya.
Bado mapema sana mtani, nitakuambia.
Mbona Lipumba katangaza nia Ukawa??