Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe ashajua rais ni Makongoro.. Kwahiyo hakutaka kutumia nguvu nyingi sana
 
"Nimetafakari sana kuhusu Urais nimeona
niombe,Nimejilinganisha na watu wengine
wote na baada ya kumpitia mmoja baada ya
mwingine nimeona Lindi tuna nafasi ya
Kuchukua na kuwa na kiongozi wa juu
Tanzania".
Huyu atakuwa Rais wa lindi ama Tanzania naombwa kujuzwa tafadhali..

"Nikichaguliwa kuwa rais lazma
nihakikishe wakina baba wanawaheshimu
wakina mama"

Huyuatakuwa Rais wa Familia zetu ama vipi.. mke nioe mm heshima unipangie ww

Hahahaaah kama anaomba uenyekiti wa serikali za mitaa
 
Mizimu Mizimu mwanzo Mwisho... Suala la Umasikini, Matatizo ya Ajira, Mikataba ya kise.nge, Rasilimali za nchi ... hazifahamu... ameonyesha Udhaifu uliopitiliza ... Niliwahi kusema kuwa Kila mmoja huchukuliwa kama ni mwenye Hekima mpaka pale atakapo ongea ... Crystal Clear Huyu Jamaa Uwezo wake ni Mdogo sana kuongoza nchi hii... Ukanda, Ukabila, Udini ni sehemu ya mikakati yake michafu ... So far CCM hawana Mgombea mwenye Mvuto zaidi ya Lowassa ...
 
Hafai kuwa rais anajua watu Wa Lindi na mtwara ndo watampigia kura yupo kama anaomba ubunge

Wewe kilaza...ilani ya chama ndio itasema mgombea wa CCM atafanya nini...ila hayo ya sera uwa hayasemwi siku ya kutanga nia...acha ushamba.
 
Wote waliotangaza nia kupitia ccm ni Makongoro tu alieonyesha anajua anachokifanya kwa hatua aliyopo.
 
Mkewe mbayaaaaa, bora mama Salma.
Laiti ningekua mke wa mtangaza nia (yeyote) ningetoa speech ya hatariiii..lol

Hahaaaa kazidisha make up huyo. Badala aongee neno eti anacheza. Hivi January anatangaza saa ngapi nia. Huyu Membe hakujipanga.
 
Walevi tuwashawi wake zetu tusimpigie kura membe na ccm Yake tusije kukoma. Maana katangaza vita na walevi.
 
Ngoja nimsubiri January,mka sasa hawa watoa nia aliyetoa speech ya kueleweka ni MWIGULU NCHEMBA PEKE YAKE
 
Wewe kilaza...ilani ya chama ndio itasema mgombea wa CCM atafanya nini...ila hayo ya sera uwa hayasemwi siku ya kutanga nia...acha ushamba.

Piga kelele hadi mishipa ikusimame lakini Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii
 
Nadhani amefanya vizuri kwa kuwa leo ni siku ya kutangaza ni tu. Amegusa masuala mengi afya, kilimo na uchumi wa viwanda, usalama na utawala bora. Kimsingi haya ndiyo matatizo makubwa ya Tanzania kwa upana wake. Kikubwa ni kujipanga kwa awamu inayofuata na kuendelea kijitathmini. Ili kuwa ni mapema kidogo kuanza kur
 
Yaani huyu Membe ndo akiteuliwa kama mgombea wa CCM basi Vyama vya upinzani wakiungana waachie chama kimoja tu cha upinzani kitOWE raisi,HUYU Membe atashindwa vibaya sana labda waibe kura,ni mwepesi hana vision,hajui kuanalayse hoja zake zimejaa vijembe na kuamini mizimu mizimu tu

True! Nimemsikiliza Membe ni porojo tu! Wapinzani hapo wameingiaje? Kachemsha sana. Hakupangilia vizuri point zake, mwishoni kaharibu sana anaanza kupiga siasa badala ya kutengeneza ushawishi ndani na nje ya ukawa. Ovyo kabisa. Akaombe udiwani huko Lindi hafai.
 
Membe ana hormones za kike sana nini?
 
Haya ndo madhara ya AKILI ndogo kuipa Mzigo wa Terabyte kadhaa ... Membe hana Uwezo jamani ...
"Nimetafakari sana kuhusu Urais nimeona
niombe,Nimejilinganisha na watu wengine
wote na baada ya kumpitia mmoja baada ya
mwingine nimeona Lindi tuna nafasi ya
Kuchukua na kuwa na kiongozi wa juu
Tanzania".
Huyu atakuwa Rais wa lindi ama Tanzania naombwa kujuzwa tafadhali..

"Nikichaguliwa kuwa rais lazma
nihakikishe wakina baba wanawaheshimu
wakina mama"

Huyuatakuwa Rais wa Familia zetu ama vipi.. mke nioe mm heshima unipangie ww
 
Waendesha boda boda kutoka dar.huu usanii kama wa Lowasa
 
Back
Top Bottom