Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe ameoa jamani kuna mwanamke namwona pale mbele .
 
ngoja tusubir anayefuata jmakamba......huyu hamna kitu.Hata mtu ambaye hajasoma anawwza toa speech km hiyo....ni mwepesi sanaaaa
 
Membe anasema akitokea mtu akamwambia Dr.Slaa pumzika basi waachie na wengine wagombee atafukuzwa kama panya.

Teh teh teh teh teh

Membe hana sera kabisa
 
"Nimetafakari sana kuhusu Urais nimeona
niombe,Nimejilinganisha na watu wengine
wote na baada ya kumpitia mmoja baada ya
mwingine nimeona Lindi tuna nafasi ya
Kuchukua na kuwa na kiongozi wa juu
Tanzania".
Huyu atakuwa Rais wa lindi ama Tanzania naombwa kujuzwa tafadhali..

"Nikichaguliwa kuwa rais lazma
nihakikishe wakina baba wanawaheshimu
wakina mama"

Huyuatakuwa Rais wa Familia zetu ama vipi.. mke nioe mm heshima unipangie ww
 
"Nilialikwa na chifu wa Zanaki na nilienda na kutambuikia kaburi la Mw. Nyerere, na niliongea na Mw. Nyerere kwenye kaburi lake na kumueleza kuwa aniruhusu nivivae viatua alivyomwachia Mwinyi,Mkapa,na JK."

By. Membe.

Binadamu niwanafiki sana! Mwaka huu tutaona nakusikia mengi sana! Sasa alvyokwenda kusal kwny kabul la nyerere aljua nyererea atamsikia? Wajiandae kisaikolojia kuacha nchi
 
Waziri wa mabo ya nje wa TZ ameshatangaza nia ya kugombea nafasi ya urais leo katika viwanja vya CCM mkoani Lindi.
Sisi Timu Membe tunaomba tathmini yako bila kulinganisha na watangaza nia wengine. (UWE UMEFUATILIA TAFADHAL)
 
Mkewe mbayaaaaa, bora mama Salma.
Laiti ningekua mke wa mtangaza nia (yeyote) ningetoa speech ya hatariiii..lol
 
Ameongea vizuri sana membe, ila tatizo hawa wanasiasa sipendi wanavyopondana, badala ya kujielezea mwenyewe, ila.........kazi ipo uchaguzi mwaka 2015
 
membe huna hoja, sema utaifanyia Tanzania, leo nimebaini jambo kutoka kwa membe kumbe anaogopa sana wapinzani maana ameanza kujihami mapema
wapo watu waliopata kusema kuwa membe hana sifa za kuwa rais nilifikiri waongo sasa ukweli uko dhahiri
membe pengine unasubiri mbeleko kutoka nec bila hivyo akina lowasa wanavihoja.
Hakika UKAWA gumzo kila kona
 
Membe anasema akitokea mtu akamwambia Dr.Slaa pumzika basi waachie na wengine wagombee atafukuzwa kama panya.

Teh teh teh teh teh
Hahahahaha
Kama panya...
 
Yani huyu Mambe ni mweupe pee! Hivi teamMembe mnajua jamaa yenu alivyo mweupe!

Hii hotuba yani haiakisi kama ni mtu mwenye cv kama yake! Hutuba haina mwelekeo, maudhui ya kutangaza nia sifuri, hata mpangilio wa hoja ziro kabisa! Inakuwaje mtu kama huyu akawa hata waziri?
 
Peter msechu ametekwa na membe .hawa wasanii wanatumiwa kama toilet paper na ccm
 
kama ni kweli membe atatekeleza kila alichokiongea basi ni lazima awe raisi 2015-2020 , kaongea vitu vya maana sana kwamba akichaguliwa atajikita kwenye sekta ya viwanda na umeme ule wa gesi ya mtwara sio wa mwanga tu bali unaweza kuongeza ajira kwa kutumika katika viwanda vitavyotengeneza ajira, pia tanzania inahitaji marafiki na hapo ndipo nafasi yake ya waziri wa mambo ya nje imekuwa ikimfanya aijue dunia
 
Back
Top Bottom