Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimsubiri January,mka sasa hawa watoa nia aliyetoa speech ya kueleweka ni MWIGULU NCHEMBA PEKE YAKE
Kiukweli Mwigulu ni jembe ukimlinganisha na Membe.
Aliongea kwa muda mrefu tena akiwa na mipango mizuri hadi huchoki kumsikiliza tofauti na leo hotuba fupi halafu hakuna kitu.
Hahaaaa kazidisha make up huyo. Badala aongee neno eti anacheza. Hivi January anatangaza saa ngapi nia. Huyu Membe hakujipanga.
Kiukweli Mwigulu ni jembe ukimlinganisha na Membe.
Aliongea kwa muda mrefu tena akiwa na mipango mizuri hadi huchoki kumsikiliza tofauti na leo hotuba fupi halafu hakuna kitu.
Aisee Membe katisha sanaa
Ngoja nimsubiri January,mka sasa hawa watoa nia aliyetoa speech ya kueleweka ni MWIGULU NCHEMBA PEKE YAKE
Kamanda soma hii kiduchu.Uwanja umekuwa disko la wahuni sasa
Uwanja umekuwa disko la wahuni sasa
Hapo nimempenda kwenye VETA/UFUNDI ana idea nzuri,kuongeza na kufufua viwanda kutaongeza ajira,pia vijana wataweza hata kujiajiri,ila je atayaweka kwenye VITENDO?
Hotuba imejaa mipasho.Hotuba ya Membe imekosa mipango.Haina plan B zilizojitosheleza elimu yake haitoshi sisi kumpa urais tunachotaka ni uwajibikaji.Kwa mwendo huu Muhongo na Nchemba wanaafadhali.
Hahahahaha
Kama panya...
Jamaani hivi january saa ngap ataongea maana membe namuona hana jipya
Mheshimiwa anajigamba sana, hii inatia wasiwasi juu ya uwezo wake. Nakwamba atalinda maslahi ya viongozi waliopita hata kama walifanya makosa??!
You're right... watu wanachanganya mambo kweli kweli... wanadhani pale ni sehemu ya kutangaza sera kumbe ni kutangaza nia... hawafahamu ni mbwembwe tu zilizoibuka hivi karibuni lakini kwa kawaida, hata haya mambo ya kurusha LIVE wala sio lazima lakini bado kuna watu wanatega masikio kusikiliza sera sasa sijui ni sera za kumwahidi nani wakati wanachofanya ni kutafuta ridhaa ndani ya chama ambapo!!! Tusichojua ni kwamba, pale utangaze sera au usitangaze, haimaanishi chochote kwa kuwa sio pahala pake!