Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe hamna kitu, bora waliotangulia yaani kila kitu mtama,mtwara, lindi....mbona hakuna watanzania?
 
Bora membe angekuwa wa mwisho kutangaza nia.....
Amenikata stimu mazima...
 
Yaani huyu Membe ndo akiteuliwa kama mgombea wa CCM basi Vyama vya upinzani wakiungana waachie chama kimoja tu cha upinzani kitOWE raisi,HUYU Membe atashindwa vibaya sana labda waibe kura,ni mwepesi hana vision,hajui kuanalayse hoja zake zimejaa vijembe na kuamini mizimu mizimu tu
 
Huu utitiri wa maccm kujinadi ktk nia ni mpango wa Mungu,ni lini tungeujua udhaifu wa kila mmoja? Lwa maana nyingine Tanzania hii kwa miaka mingi tumekuwa tunaonhozwa na watu dhaifu sana,ni aibu.
 
Sasa ni wakati wa kutoa marks kwa hotuba yake ya kutangaza nia baada ya kuwa amemaliza nampa asilimia 0.01 ya 100.
 
Ukimsikiliza maneno yake, ni ngonjera, hana jipya, kama wenzake, mambo yale yale, hatoi dira, nawala haoneshi objectives za kila mwaka, namna atakavyo tufikisha kwenye uchumi wa viwanda, wote wanawayawaya, na kurusha, madongo kwa edwadi, hazungumzii, tanzania, yeye anazungumzia, mambo ya lindi, na ssm yake, ukimsikiliza sana, humsikii akisema nduguzangu watanzania, yeye utamsikia ti akisema, lindi hoyeee, sssm oye, nitatizo, kubwa kwa mtu anae taka kuiunganisha tanzania.
 
Mtu wao yupi? Mkuu lini Ukawa tutawajadili wagombea wake au yupo mmoja tu Dr.Slaa ukimpinga unafukuzwa kama Panya.

Teh Teh...jamaa Slaa ni Mungu wao...
 
membe head is an empty basket kwenye watangaza nia wote mpaka sasa membe ndio kichwa maji kuliko wote
 
Membe anasema akitokea mtu akamwambia Dr.Slaa pumzika basi waachie na wengine wagombee atafukuzwa kama panya.

Teh teh teh teh teh
 
Kiukweli Mwigulu ni jembe ukimlinganisha na Membe.
Aliongea kwa muda mrefu tena akiwa na mipango mizuri hadi huchoki kumsikiliza tofauti na leo hotuba fupi halafu hakuna kitu.
 
Membe na Lowasa ndo wagombea wa uraisi ambao hawakuulizwa maswali na waandishi wa habari ni usanii tuuu.
 
Duh pombe gani inapatikana lindi maan leo siyo jamaa hakuwa sawa
 
Wanaume wanywa pombe tutakoma. Sasa sijui TBL wafunge kiwanda ili tusikomeshwe
 
Back
Top Bottom