Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Nyie hamna watu wenye sifa ya kuwa Rais zaidi ya Lipumba na Safari!

Rutta..hata sisi hatuna wote wapiga dili hao..labda ajitokeze Salim Ahmed Salim ndio pekee mwenye maono ya kiuungwana..hao wengine wataidhalilisha IKULU yetu ambayo sasa ni mahala pa kupiga dili sio kuanzisha maendeleo endelevu na kuletabuwiano wa pato na maendeleo.
 
Shughuli ya leo imepambwa na usanii mtupu.Sasa hao wasanii wanini?

Wasanii wa bongomovie njaa tupu zinawasumbua kama Jb na Steve nyerere juzi walikuwa kwa Wassira leo kwa membe
 
nilishasema katika wagombea wote ccm hamna mpuuzi kama MEMBE
hajulikani analolisimamia na analolisema.....yaan anataka sjui aishi kwa undumila kuwili hata simkadirri ufinyu wa akili yake
NI MAKONGORO pekee anayeweza kuinasua CCM
 
mimi sio team membe, lakini kusema ukweli kati ya mamvi na membe, membe ni bora kuliko. bahati mbaya hatateuliwa, monduli atachukua hii nchi na membe atatakiwa kuhama nchi hii. sina mengine zaidi hayao.
 
Nchi hii tunaongozwa na watu weupe sana yani sometimes naonaga Zitto yupo sahihi kusema wazee wapumzike ndio wanaturostisha awa.
 
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!
Pamoja na chama chako kumtosa dada yako bado
umen'gan'gana nacho mpaka kifie mikononi mwako?
Subiri kikulipukie
Na safari hii hakiponi , asipokilipua Slaa, EL
atakilipua,maana mnavyompiga vita mmemfanya mpinzani
halisi na lazima awalipue.:A S-rap:
 
Startv wanatoa historia ya membe ya nini?
 

Achana na suala la yeye kujikita kwenye mambo yake.

Membe azuiliwi kuzungumza mambo ya upande wa pili huko kwa wapinzani. Chukueni ushauri wake....ufalme sio dili...kila siku mtakuwa mnashindwa halafu mnakuja na sababu zile zile...acheni yeye ahofie mambo yake ya kupitishwa na chama.
 
Last edited by a moderator:
Hao watu wanamwita Membe ni raisi labda wa mtwara

Sikutegemea kuona alichokisema leo. Utumbo mtupu! Hakuna maswali ni wasanii tupu wanacheza. Nani kamwambia tunataka kucheza ngoma wakati nchi imekwama kiuchumi? Namuona makongoro hana mpinzani.
 

hahahahahaha....Membe bana,,eti ameongea na Nyerere makaburini,,teh teh teh
 
...Si Membe wala Mtu wako Edo wote hawatafika popote...,kwa kifupi hawafai na watakatwa wote kwenye CC subiri uone!

NAOMBA MUNGU HILI LITOKEE MAPEMA KUIEPUSHA CCM na aibu
Yaan bora mchuano uwe MAKONGORO, MAGUFULI na MWIGULU ila sio hao wengine
 
mimi sio team membe, lakini kusema ukweli kati ya mamvi na membe, membe ni bora kuliko. bahati mbaya hatateuliwa, monduli atachukua hii nchi na membe atatakiwa kuhama nchi hii. sina mengine zaidi hayao.
Wote hafai sijaona jipya zaidi ya mipasho
 

Teh Teh hao hawana imani na Slaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Malalika

Nimemsikiliza Membe hotuba yake anatakuwa ajipange sana kuna mambo ya muhimu wananchi wanataka kuyasikia kuhusu mstakabali wa maisha yao wameyakosa, inaonekana Membe alikuwa anajiamini sana lakini kwa hotuba hii inabidi ajipange sana.
 
Last edited by a moderator:
I wish iwe hivyo ... Lowassa atakipasua katikati hilo li chama lao ... Wanazania wamechoshwa kwa matambiko ..
...Si Membe wala Mtu wako Edo wote hawatafika popote...,kwa kifupi hawafai na watakatwa wote kwenye CC subiri uone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…