Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Tuko mitaani

Mwananchi: Kitendawili.

Mwana JF: Tega

Mwananchi: Mzee Sir George Kahama anatafuta nini/anamwakilishanani kwa Membe?

MwanaJF tegua kitendawili hiki .....................
 
chonde chonde vyama vya upinzani wekeni maslahi ya TAIFA mbele,tafadhali sana wekeni mgombea mmoja wa URAISI,Membe kishaahidi kuwalinda maraisi waliopita.Vyama vya upinzani sikilizeni vilio vya watanzania kama kweli mna nia njema na maslahi ya TAIFA


Madam, declare interest..upo upande gani? UKAWA au CCM?
 
Membe wanampa moyo siku akikatwa jina lake atalia mwenyewe
 
Wabunge wa UKAWA hawana imani na Slaa waneona wamuunge mkono Membe!
 
Mbona Ray amekonda sana hata kuongea hawawezi kabisa
 
Naanza kukata tamaa na wagombea hawa. Tunataka maswali ndg membe hao wasanii siyo sehemu yao na siyo lengo kuu hapo. Mbona unajishushia heshima membe ? Maswali maswali vipi?
 
Wabunge wengi wa UKAWA wamejaa hapa wana mpongeza Membe..
 
Back
Top Bottom