Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wengi wa UKAWA wamejaa hapa wana mpongeza Membe..
Utoe speech mara ngapi?? We si kila siku unatoa speech kuhusu kiba
membe na makongoro ni chaguo bora
Achana na suala la yeye kujikita kwenye mambo yake.
Membe azuiliwi kuzungumza mambo ya upande wa pili huko kwa wapinzani. Chukueni ushauri wake....ufalme sio dili...kila siku mtakuwa mnashindwa halafu mnakuja na sababu zile zile...acheni yeye ahofie mambo yake ya kupitishwa na chama.
Hotuba ya Rais ajaye Wa Tanzania Benard Membe imekua ya mfano na hata Yeye mwenyewe ameitendea haki kwa kuiwasilisha vizuri
ana sifa za Rais na mpinzani wake pekee hadi sasa ni Makongoro Nyerere..
Duh pombe gani inapatikana lindi maan leo siyo jamaa hakuwa sawa
amesema atawapa wanawake wa tanzania pesa iki waachike...pia kasema wanaume wanaokunywa pombe wakome...akiingia madarakani atawashughulikia
Ila kutangaza nia wakati hutaki kusema ubaya au udhaifu wa kiongozi aliyepo sio kazi ndogo.Nadhani ndio mtihani aliokutana nao Membe matokeo yake inabidi uzungukezunguke tu.
Namsubiri Pinda, sijui atasema nin wakati ni waziri mkuu
Bilali yeye akaishia tu kusema ataongoza kisayansi, sasa sijui kikwete anaongoza ki-art