Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
"Hatutamfumbia macho mla rushwa,lazima nchi tuiweke kwenye mstari wa Mwl.Nyerere,Mwinyi, Mkapa na Kikwete" SWALI. Ni kweli hizi awamu zote hazija wafumbui macho wala rushwa? na nchi ilitoka kwenye mstari awamu ya tatu na nne hadi irudishwe kwenye mstari wa Mwl. Nyerere,Mwinyi,Mkapana Kikwete? kazi kwenu wana jf! kwa hoja za kina na si propaganda!
Hiyo ni sentensi ya kichaa kichaa tu. Sasa kama serikali ya Kikwete ipo kwenye msitari sahihi, hiyo inayorudishwa "kwenye msitari huo" ni serikali ya nani?