"Hatutamfumbia macho mla rushwa,lazima nchi tuiweke kwenye mstari wa Mwl.Nyerere,Mwinyi, Mkapa na Kikwete" SWALI. Ni kweli hizi awamu zote hazija wafumbui macho wala rushwa? na nchi ilitoka kwenye mstari awamu ya tatu na nne hadi irudishwe kwenye mstari wa Mwl. Nyerere,Mwinyi,Mkapana Kikwete? kazi kwenu wana jf! kwa hoja za kina na si propaganda!
Urais ni lahisi Tanzania kwa sababu ya viwango vya uelewa wa watanzania....jiulize nini walikuwa wakishangilia!
"Hatutamfumbia macho mla rushwa,lazima nchi tuiweke kwenye mstari wa Mwl.Nyerere,Mwinyi, Mkapa na Kikwete" SWALI. Ni kweli hizi awamu zote hazija wafumbui macho wala rushwa? na nchi ilitoka kwenye mstari awamu ya tatu na nne hadi irudishwe kwenye mstari wa Mwl. Nyerere,Mwinyi,Mkapana Kikwete? kazi kwenu wana jf! kwa hoja za kina na si propaganda!
LOWASA AMETOKA AWAMU IPI YA URAIS???"Hatutamfumbia macho mla rushwa,lazima nchi tuiweke kwenye mstari wa Mwl.Nyerere,Mwinyi, Mkapa na Kikwete" SWALI. Ni kweli hizi awamu zote hazija wafumbui macho wala rushwa? na nchi ilitoka kwenye mstari awamu ya tatu na nne hadi irudishwe kwenye mstari wa Mwl. Nyerere,Mwinyi,Mkapana Kikwete? kazi kwenu wana jf! kwa hoja za kina na si propaganda!
kufilisika kwa uhalisia wa kitu au jambo ni kubaya sana,nilisikiliza hotuba yake nikabaki najiuliza maswali lukuki yasiyo na majibu kama kweli huyu mtu anajitambua au anaona wadanganyika ni mazombie tu?
Hakuna mtu mwenye akili timamu,upendo wa dhati na Tanzania Na asiye na maslahi binafsi anayeweza kuchagua CCM. WOOTE wanao ona CCM bado Inafaa ni lazima wa we aidha hawana akili timamu au hawana upendo na uchungu wa dhati na nchi yetu au kama a na b hawana basi wana sukumwa na maslahi binafsi yao na familia zao.
Hivi wale waliokuwa wanamshangilia walijua wanashangilia nini nilikuwa naona makelele tu
Dah kwakwel mimi sikutegemea Mh. Membe angetoa hotuba ka ile, kwanza kajichanganya katia nia uchaguz wa 2010 na co huu mara kwa mar anataja mwak huo badala ya 2015, lakin pia maneno yake ya kusema wanawak watapewa mikop ili hata wakiachana na wanaume zao wajikim kaul hii inapingana na uvumil kweny ndoa badal yake itakua jno kwa jno, kasema wanywa pombe akiingia ikul mtaipata fresh bt hotub nyepes sanaa
Akiteuliwa kugombea, picha itamsaidia kumpa kura za wamama.
Nakumbuka ata chuo sie tusiokuwa "presentable" tulikuwa tunadisadvantage kwenye angle hiyo maaba viumbe wetu hawa kitu cha kwanza walikuwa wanangalia muonekano wa mtu.Mitaani, vijijini na uswahilini ndio usiseme.
katika Hotuba Dhaifu kuliko zote zilizotolewa Ya MEMBE imeongoza. AIBU SANA , NI TOFAUTI na NILIVYOKUWA NAMCHUKULIA .