Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Hahahahahaaaaa...umenifanya nicheke kwa nguvu aisee.
Hahahahaha weka GSW inashinda uendelee kucheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaa...umenifanya nicheke kwa nguvu aisee.
Piga kelele hadi mishipa ikusimame lakini Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii
Waendesha boda boda kutoka dar.huu usanii kama wa Lowasa
Tusubiri zamu yetu honey wala usijali tutawakalisha woote hao
Nimekua disappointed sana.Nilitegemea makubwa kutoka kwa Membe lakini nilichokiona ni tofauti.
Hivi ungekua mke wa mtangaza nia usingeongea japo jambo kidogo?
Hata kumsifia? Hawa wamama wanatia aibu sana.
I salute you madam!.Sasa nani kasema anaomba kura hapo kwahyo hapo akichaguliwa kuwa rahisi atakua anatumikia chama au? Kujenga hoja bado sana huo ndo ukweli.
Bora membe angekuwa wa mwisho kutangaza nia.....
Amenikata stimu mazima...
Duh! Kwa halo waliyonayo magamba, mpaka sasa hakuna mgombea wa ccm kwenye majibu ya watanzania, ninachokiona mbele yao ni giza totoro.
Mpaka sasa sijaona Rais ajaye kupitia ccm.
... Mbona Wabunge Wa Ukawa Wamejazana Hapo. Namuona Mangungo Na Mama Wa Cdm