KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.

Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.

Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.

Nini kinashindikana hapa nchini?

 
Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
 
Huku tulishapita sisi. Japo siyo kwa nafasi ya mkuu wa majeshi, lakini vyeo vya juu jeshini tumekuwa nao. Mpaka Iddi Amin akalalamika kuwa Tanzania inasaidiwa na mataifa ya nje kumbe ni wazalendo watanzania. Na siyo jeshini tu ila serikalini tulishakuwa na watu kama kina Amir Jamal aliyekuwa waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…