KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

Onyesha mihindi/miarabu miwili tu iliyopo kwenye majeshi ya ulinzi na usalama ya TZ. Wawili tu.
 
Tulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)

Wewe ulisimuliwa au akili yako imekufikirisha kua hayo majina yao lazima watakua wahindi au waarabu au uliwaona kwa macho yako?
Bila shaka yeyote nadhani wakati wa akina Hans pope na Hatibu Gandi wewe ulikua si kiumbe wa kuhsabika katika huu ulimwengu
Na kama vile siku za usoni atatokea mtu kama wewe na kutuambia mtangazaji wa TBC /ITV nadhani FARHIYA MIDDLE alikua muhindi au muarabu
 
Muhindi au mwarabu akishika wadhifa mleta mada jua utakuwa unanyewa mdomoni kila siku iitwayo leo
Marekani imejaa watu wenye asili ya mataifa mbali mbali katika kila nyadhifa, imagine Musk heshima anayopewa japo asili yake ni South Africa, tuacheni ubaguzi.
 
Marekani imejaa watu wenye asili ya mataifa mbali mbali katika kila nyadhifa, imagine Musk heshima anayopewa japo asili yake ni South Africa, tuacheni ubaguzi.
Marekani sio nchi ya wazungu..ni wahindi wekundu..ila wazungu walipoingia waliwaua sana..hawana claim ya kuwa amerika ni ardhi yao tofauti na sisi waafrika afrika ndio kwetu halisi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Marekani imejaa watu wenye asili ya mataifa mbali mbali katika kila nyadhifa, imagine Musk heshima anayopewa japo asili yake ni South Africa, tuacheni ubaguzi.
Haiwezekani,hawana madaraka wanatudharau hivi
 
Kwa hatia hiyo ninaamini serikali yake itafanya vizuri.

Ngozi nyeupe Wana kitu cha ziada kichwani kuliko sisi
Unamwamini mzungu ili iweje? Mzungu almekulia na kusoma Zambia, haiwezi kumfanya awe mzalendo wa Zambia.

Mzungu popote alipo ikifika saa ya kuitumikia nchi yake ya asili hubadilika na kufanya yake.

Unakumbuka Kenya ilivyotumika kuusaidia Israel dhidi ya Id Amin kuokoa mateka? Si ikuwa raia wa Kenya yule?

Usimwamini mzungu hata kama ni kichaa.
 
Usimwamini mzungu hata kama ni kichaa

Kuna jamaa humu alisema eti mtu mweusi ni kima aliyechangamka, sasa sijui kwa nini alifikia hatua ya kusema hayo maneno!!!
Ukimpinga huyo jamaa aliye sema Hivyo unakuwa ujatafakari bila kujali umimi.
 
Wewe ulisimuliwa au akili yako imekufikirisha kua hayo majina yao lazima watakua wahindi au waarabu au uliwaona kwa macho yako?
Bila shaka yeyote nadhani wakati wa akina Hans pope na Hatibu Gandi wewe ulikua si kiumbe wa kuhsabika katika huu ulimwengu
Na kama vile siku za usoni atatokea mtu kama wewe na kutuambia mtangazaji wa TBC /ITV nadhani FARHIYA MIDDLE alikua muhindi au muarabu
TEH..TEH... Kwa kifupi tu huyu mjane Gandi ni rafiki wa mke wangu! upo hapo
 
polisi tanganyika walikuwa wahindi singasinga angalia picha ya siku tunapata uhuru bendera ya tanganyika inapandishwa wahindi walikuwa wengi ni mapolisi ila ubaguzi ndio umeifanya tanzania kutokuwepo waarabu na wahindi kwenye upolisi au jeshini kenya wapo vizuri lakini tanzania wabaguzi sana sana. kenya mwarabu au muhindi au msomali mzaliwa wa kenys hasumbuliwi kupata passport au kitambulisho cha taifa. njoo tanzania uone usumbufu
 
Unamwamini mzungu ili iweje? Mzungu almekulia na kusoma Zambia, haiwezi kumfanya awe mzalendo wa Zambia.

Mzungu popote alipo ikifika saa ya kuitumikia nchi yake ya asili hubadilika na kufanya yake.

Unakumbuka Kenya ilivyotumika kuusaidia Israel dhidi ya Id Amin kuokoa mateka? Si ikuwa raia wa Kenya yule?

Usimwamini mzungu hata kama ni kichaa.
Mimi simuamini mzungu, mimi ninaamini uwezo/ufanisi wa mtu.
Tukubali tukatae wenzetu Wana uadilifu kuliko sisi.. Nionyeshe taasisi kubwa moja inayofanya vizuri Chini ya ngozi nyeusi mimi nikuonyeshe maelfu ya taasisi yanayofanya vizuri chini ya weupe.
Nb: uzalendo sio kuzaliwa tu ndani ya nchi, unaweza zaliwa na usiwe mzalendo, tuna maelfuya wazawa ila sio wazalendo..Richmond, Epa escrow etc wapigaji ni wazawa.
Kashfa ya Rada yule mama mzungu ndani ya bunge LA uingereza aliishinikiza serikali yake irudishe hela ya Tanzania wakati wazawa waliotufikisha hapo hawakuwajibishwa kwa namna ipasavyo.
Linapokuja swala LA uadilifu katika mazingira yoyote yale wenzetu wametupiga gep.
 
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.

Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.

Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa na nafasi kumfanya asiendeleze hisia na kipaji kilichomfikisha hapo alipo.

Nini kinashindikana hapa nchini?

View attachment 1916496
Mbona aliyeinua na kusimamisha bendera ya Taifa siku ya Uhuru alikuwa mhindi...1961
Aliyetunga Jina la Tanzania nae mhindi...
Historia pia ina thibitisha majina ya miji/Mike na mitaa mingi Nchini ni ya KIARABU..... au vipi ??? role yao inatosha sasa.
Waje wa China nao...
 
Back
Top Bottom