Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wapi huko?Kwani huko kwao ngozi nyeupe hawatumiani kisiasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko?Kwani huko kwao ngozi nyeupe hawatumiani kisiasa?
usijitoe haraka anaweza kuwa mke wangu kuwa bibi yangu!
Mkuu wa kikosi Cha ndegevita ngerengere morogoro kipindi Cha mkapa alikuwa mwarabu shombeshombeTulishawahi kuwa nao huko nyuma lakini hawakufikia madaraka makubwa kiasi hicho enzi za miaka ya 60 na 80s walikuwepo wengi tu. Hanspope na Hatibu Gandhi (Hatty McGee)
hapana mimi ni mtu mzima nilisoma kwa kuchelewa 1986 nilikuwa form oneSijakimbia bali nimepuuza uongo unaotunga siwezi kuendelea na childish arquements
hapana mimi ni mtu mzima nilisoma kwa kuchelewa 1986 nilikuwa form one
unaonekana oko very interested na huyu mtu? kiufupi sina mahusiano naye zaidi ya kufamiliana na mke wake kupitia mke wangu wakati huo ambaye yeye walikuwa wanafanya biashara pamoja na huku mama huyo akiwa mhasibu nilimpenda kwa jinsi alivyo kuwa anaishi kwa furaha na familia yake na akimtumikia MUNGU wakati huo nikiwa kijana mdogo sana ndo nimeoa tu na nikawa namweshimu mambo mengine ni kuweka kumbukumbu sawa za nchi yetu kwa kadri ya uzi ulivyokuwa.Kama Hatibu Gandi alikua babu yako kazi yake ilikua nini na alisomea wapi pia ni kabila gani?
unaonekana oko very interested na huyu mtu? kiufupi sina mahusiano naye zaidi ya kufamiliana na mke wake kupitia mke wangu wakati huo ambaye yeye walikuwa wanafanya biashara pamoja na huku mama huyo akiwa mhasibu nilimpenda kwa jinsi alivyo kuwa anaishi kwa furaha na familia yake na akimtumikia MUNGU wakati huo nikiwa kijana mdogo sana ndo nimeoa tu na nikawa namweshimu mambo mengine ni kuweka kumbukumbu sawa za nchi yetu kwa kadri ya uzi ulivyokuwa.
Although naweza sema kile kizazi kilifanya yale kwa sababu bado nchi yetu ilikuwa bado haijawa na wazawa wa kutosha wenye uwezo, taaluma na kujitolea kama kipindi tulichopoMbona aliyeinua na kusimamisha bendera ya Taifa siku ya Uhuru alikuwa mhindi...1961
Aliyetunga Jina la Tanzania nae mhindi...
Historia pia ina thibitisha majina ya miji/Mike na mitaa mingi Nchini ni ya KIARABU..... au vipi ??? role yao inatosha sasa.
Waje wa China nao...
Huko kwa hao watu weupe kama Ulaya au Asia.Wapi huko?
Si tunaye Zungu au?
ila umesababisha niende mbali zaidi kwa kumuuliza huyo jamaa alikuwa anatokea familia moja ya Kisharif pale Bagamoyo kwa wale tuliosoma Bagamoyo tunaielewa hii familia ndo familia iliyokuwa ya watwana pale Bagamoyo Kikwete pamoja na kutoka katika familia ya kipekee lakini lazima familia hii ilikuwa lazima afahamiane nao ilikuwa huwezi kufanya kitu Bagamoyo cha maana bila familia hii ya kina sharif kuhusishwa pamoja na kina shehe Ramia. kwa sasa wamepigiga mdogo wake mmoja alikuwa anakuja disco bagamoyo sec akikukuta na demu mzuri anacheza naye yeye na lazima demu akuteme acha kabisa ukibisha ukishuka mjini utaipata wapambe lazima wakutie mkwala.Hayo ndio maneno ya kiutu uzima mzee.
Full ubaguzi..... ubaguzi umekubuhu kuliko wa sauzi.Although naweza sema kile kizazi kilifanya yale kwa sababu bado nchi yetu ilikuwa bado haijawa na wazawa wa kutosha wenye uwezo, taaluma na kujitolea kama kipindi tulichopo
Let talk hiki kizazi kipya cha wahindi na waarabu hawa hawa unaoishi nao huko uswahilini nk, not old one.