Huenda tunaonekana hatuelewi chochote π π π wao wanajua sana.Hakika dada waambie wabishi hawa.
Kama nakuelewa ivπ€Sahihi kabisa mkuu. Halafu mtoa Mada hajui hata Nini maana ya private school.
What is private about EMS kama hawatumii mtaala wao wenyewe wana tumia mtaala wa NECTA?
Unaposema wewe ni private school maana Yake hata mtaala wako pia unapaswa kuwa private.
Sio unasema wewe ni private halafu mtaala unatumia wa public
The only private thing about shule za EMs za kibongo ni majengo Yao lakini everything about them is public
Hata English yenyewe hazifundishi isipokuwa kinacho fanyika ni just mentioning. Yani masomo kwenye shule za EMs yanakuwa mentioned in English na Sio kufundishwa in English.
Mtu ambae Sio mzungumzaji WA lugha ya kiingereza Kwa kuzaliwa hana uwezo WA kufundisha somo lolote lile Kwa lugha ya kiingereza but he can mention it in English.
Kama Kweli mzazi upo serious na hiyo unayoita elimu Kwa kiwango hicho Basi shule zinazo fundisha Kwa mtaala wa Cambridge ambazo ada zake ni walau kuanzia milioni 25 Kwa mwaka.
Lakini hizi za kumilikiwa na wakina Muggetta za kulipa milioni 2, 3 au 4 Kwa mwaka ni upuuzi mtupu
Kusomesha mtoto ili apate ajira ni mawazo ya kimasikini sana.IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL....
Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM.
Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna ninachokijua cha msingi. Kwa hio nikawa recommended nirudie la tano.
Aisee nilipigwa msasa, nakumbuka nilikuwa the slowest kid in class lakini nakuja kumaliza darasa la saba, ndio nilikuwa the best of the best student, kunyakuwa zawadi zote na pia kupata fursa ya kwenda special school ya serikali, kwenda special school za serikali ndio kipindi hicho zimeanza kupoteza uimara nikakutana ufundishaji mmbovu sanaaa.
Hadi hii leo kuna namna maisha yangu yalikuwa postively affected kutokana na malezi bora niliopata pale EM. Ninachokumbuka kayumba ni mwalimu aji darasani ni kupiga stori mkisubiria kengele, kutoroka shule kwa kuruka madirishani na kuingia mtaani kutafuta maembe, kuogelewa mtoni, etc, wenginne ndio walitekwa na kuchunwa ngozi, kuanza kuvuta bangi/madawa, etc
So mtu anaeponda EMs namshangaa sanaaaaa!!!
SO TUFANYEJE!!!
Kutokana na ongezeko la uhitaji wa elimu bora, shule za EMs zimekuwa nyingi huku nyingi zikishusha bei ili uje tu for the sake of "ninasomesha mtoto EM" , kwa hio tafuta shule yenye record nzuri ya malezi na matokeo bila ya kujali ada.
Kwa issue ya employment: ni aibu sana elimu aliopata mtoto wako unaipimia pale tu atapopata ajira. Unemployment nj global issue. Ni aibu unakuta unakunywa bia kila jioni, umepangishia kahaba au una suka misuko ya 50k kila baada ya wiki 1 na nusu alafu unasema kusoma EM ni kupoteza muda kwa maana hatakuja kupata ajira.
Niliwahi kwenda mbele nikasema am nit prepared tena kwa kigugumizi, nikarudi.π π π π π π umenikumbusha mbali sana
Inaonekana ulikuwa na aibu?Usiombe yakukute kwenye Presentation za Chuo pale mbele π π π
Najificha Nyuma ya watu wengine π π πInaonekana ulikuwa na aibu?
Kuna mjamaa maisha yamempiga sasa anataka watoto wetu wabebe kidumu na ufagio kama wake.Binafsi sijaelewa hii kampeni ni ya nini na ni kwa maslahi ya nani.
Je inaendeshwa na victims (watoto waliosomeshwa EMs wakalost kwenye maisha) au inaendeshwa na wazazi (wenye kupenda watu wafanane/wafuate mitazamo yao)
Sawa. Yote ni mitazamo huru.Hapa ndipo kwenye hoja, achana na blah blah nyingine!
Kwanini wepesi uwe ni kuiambia serikali ibadili lugha ya mtaala na sio kuifanya kuwa ya Kiswahili mwanzo mwisho? Nafikiria tu!
China na wafananao, imewasaidiaje kutokuwa na English?
- Kuna mpaka zile dead language zinazotumika kwenye lugha ya kisayansi, why not English?
Nchi ngapi Africa zinatumia English mwanzo mwisho na bado tuko nazo sambasamba tu kwenye ujinga na umasikini?
Copy n' Paste ya mitaala haiwezi kusaidia kwa watu kujua English.
- Elimu ya msingi na muhimu ihusu mazingira halisi yaliyotuzunguka kwa kuzingatia nyakati!
Wajinga wengi walioshia kutumia Poda, Sodomalism, Usagajilism, kulana ndugu, na upumbavu mwingi ulikuwa ni matokeo makubwa ya wanafunzi wa hizi St Mary's enzi hizo.
- Baobab wamekuja kuweka tu mambo hadharani ila ni mbaya kuliko hivyo.
1000000000%Kusomesha mtoto ili apate ajira ni mawazo ya kimasikini sana.
Somesha mtoto ili aje kukuza biashara uliyoanzisha. Kama atapenda kuajiriwa iwe ni upendo wake tu, siyo kulazimika kutafuta ajira ili kujikimu kimaisha.
Changamka, Siyo unakaa tu unajamba mashuzi hakuna unachofanya, unasubiria mtoto wako apate ajira.
Nimekufatilia comment zako are you a fresh graduate? πUsiombe yakukute kwenye Presentation za Chuo pale mbele π π π
Fanya maamuzi mkuuKama nakuelewa ivπ€
Watoto wako au WA mke wako?Kuna mjamaa maisha yamempiga sasa anataka watoto wetu wabebe kidumu na ufagio kama wake.
Wakishazaliwa nyumbani kwangu ni wakwangu.Watoto wako au WA mke wako?
Shule za EMs watoto wanalishwa kuku broiler ambazo ni sumu at the end of the day watoto wana miaka 14 wana presha na kisukariHuwezi kuwa na hela alafuvukampeleka mwanao shule za umma. Walimu, miundombinu, vifundishio, maabara, chakula, n.k ni duni sana. Shule nyingine hazina hata vyoo au ni matundu 2 kwa wanafunzi 1000
You are still a learnerWakishazaliwa nyumbani kwangu ni wakwangu.
Who are you to judge?You are still a learner
Sio ukayumba Bali uzembe wako mwenyewe!Dunia inakuwa giza kwa upande wa kayumba π π π π mateso wanayopata Mungu anajua π π π
Sure. IQ ni nature haitengenezwiKama huna akili, huna akili tu hata usome EM