Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

Tuache kudanganyana,,,

aaaaaa shule bora.png
 
Ufaulu wa juu sana unaupimaje, maana vilaza hata wakiambulia Division II huwa wanadai wamefaulu ufaulu wa juu sana.

Hakuna shule ambayo walimu hawaingii, topics zinasomwa 3 kati ya 14 which is 21% ya topics alafu shule ifaulishe sana. Darasa lifundishwe ⅕ ya muda alafu lifaulu sawa na lililofundishwa 100%?

Umesoma na watu ambao hawajafundishwa na wnegi ni vilaza watupu hadi sasa. Darasa kama hilo linakuwa na vibaka wa kutosha na mashabiki lialia wa Simba & Yanga.

Character za hiyo shule haina vyoo, wanafunzi wakitoka hapo hata ustaarabu wa kutumia choo hawana, wanachafua sana vyoo vya sink hadi ukubwani.

Na kwa sababu huna critical thinking na ulidumazwa na elimu tiamaji ya kule ndio maana bado una trauma unataka wanao wakasome shule hizohizo za kunya umesimama.
Barbarians ni kawaida yao mtu akiishi mazingira bora kumuona "amelelewa kimayai"
naona povu linakutoka kama mama mjamzito. Vp una stress za kutokuajiriwa ?

Mimi wanangu nawafundisha hustling nilifaulu vizuri sana A-level nikapata scholarship kujiunga Southampton Solent University. Maisha ya kibishi niliyoishi toka primary ndio yalinisaidia kuishi katika nchi ya kigeni. Ni ujinga kutegemea kila kitu ufundishwe na mwalimu wakati ulishafundishwa kujua kusoma na kuandika na vitabu unavyo halafu useme huelewi ukisoma peke yako.
 
Naona walimu wa EMs mmeamua kuleta hii mada mwezi january baada ya kuona shule zenu hazipati wanafunzi wa kutosha mara baada ya watanzania kushtuka kuwa wanaibiwa. Eti mtoto wa chekechea anatozwa ada sh milioni 4 kwa mwaka. Huu si utapeli mmmmae zenu
 
Back
Top Bottom