Ufaulu wa juu sana unaupimaje, maana vilaza hata wakiambulia Division II huwa wanadai wamefaulu ufaulu wa juu sana.
Hakuna shule ambayo walimu hawaingii, topics zinasomwa 3 kati ya 14 which is 21% ya topics alafu shule ifaulishe sana. Darasa lifundishwe ⅕ ya muda alafu lifaulu sawa na lililofundishwa 100%?
Umesoma na watu ambao hawajafundishwa na wnegi ni vilaza watupu hadi sasa. Darasa kama hilo linakuwa na vibaka wa kutosha na mashabiki lialia wa Simba & Yanga.
Character za hiyo shule haina vyoo, wanafunzi wakitoka hapo hata ustaarabu wa kutumia choo hawana, wanachafua sana vyoo vya sink hadi ukubwani.
Na kwa sababu huna critical thinking na ulidumazwa na elimu tiamaji ya kule ndio maana bado una trauma unataka wanao wakasome shule hizohizo za kunya umesimama.
Barbarians ni kawaida yao mtu akiishi mazingira bora kumuona "amelelewa kimayai"