Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Mama Samia ametoa kauli tena akiwa na Uso wenye hasira kwamba "Luhanga Mpina ni Mbunge wa Kitaifa na siyo Mbunge wa Kisesa" akaendelea na kusema "Anaruka ruka tu" baada ya kauli hiyo NAOMBA kuuliza Swali la Ufahamu.
Je, Luhanga Mpina anaweza kujihesabu kama Mbunge wa CCM? Hiyo siyo kauli ya wazi kwamba ameshafukuzwa Ccm? Je, anaweza kufikiria hata kuchukua fomu ya CCM ili awe agombee Ubunge wa Jimbo la Kisesa kupitia CCM?
Lakini Pia Luhanga Mpina alipata wapi ujasiri wa Kusema Jimbo la Kisesa wanamdai mama? Hajui desturi ya CCM?
In my Opinion, Luhanga Mpina na Askofu Gwajima wanapaswa kufikiri zaidi. Wanatakiwa kujiongeza.
Nawasilisha.
Pia soma >