Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Tunapodai reform watu watuelewe tunataka ata mtu akiwa muuza mboga mboga kama anakubalika na Wananchi aweze kuchagulika tofauti na sasa ambapo akina Chaumma wanasubiri majimbo ya kupewa maza aamueWatajiongeza watakwenda wapi, mahali pa kukimbilia ilikuwa ni upinzani. Lakini wote hao walikaa kimya wakati Magufuli anapandikiza utamaduni mbaya wa kuhujumu upinzani. Leo hii anakejeliwa mbele ya wananchi wake, na hana lolote atafanya, akijifanya kuongea ataishia kutekwa ama ajifiche kama Gwajima.