PreGE2025 Kutokana na kauli za Rais Samia za hivi karibuni, Luhaga Mpina na Askofu Gwajima wanatakiwa wajiongeze

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maza ameisha wa dis Magwajima!,kwa vile CCM ni chama cha wananchi,sio chama cha viongozi!,Gwajima agombee Kawe kwa tiketi ya CCM,na Mpina agombee Kisesa kwa tiketi ya CCM, kama wana Kawe wanampenda Gwajima,na wana Kisesa wanampenda Mpina,ni
wana CCM ndio
wataamua ,halafu chama kiwakate,watasimama
Upinzani kisha wananchi ndio wawaonyeshe viongozi nani zaidi kati ya viongozi wakuja,compared to their true sons!

Kama the determinant ya ushindi wa urais ni kura za kina Magwajima!,ningekuwa mimi,ningekuwa very careful na hawa Magwajima!,kama hao Magwajima wawili tuu, wanasumbua hivi, wakiwa CCM, wakijiunga upinzani
wakizunguka kanda ya Ziwa kuwaambia Magwajima,wasimchague mbaguzi fulani wa Magwajima,amini nakuambia,mtu anatoka kapa!。Magwajima sio watu wa mchezo mchezo!,wanaweza kummaliza mtu ndani ya dakika sifuri! 。
P
Leo umenifurahisha!
 
Mama Samia ametoa kauli tena akiwa na Uso wenye hasira kwamba "Luhanga Mpina ni Mbunge wa Kitaifa na siyo Mbunge wa Kisesa" akaendelea na kusema "Anaruka ruka tu" baada ya kauli hiyo NAOMBA kuuliza Swali la Ufahamu.

Je, Luhanga Mpina anaweza kujihesabu kama Mbunge wa CCM? Hiyo siyo kauli ya wazi kwamba ameshafukuzwa Ccm? Je, anaweza kufikiria hata kuchukua fomu ya CCM ili awe agombee Ubunge wa Jimbo la Kisesa kupitia CCM?

Lakini Pia Luhanga Mpina alipata wapi ujasiri wa Kusema Jimbo la Kisesa wanamdai mama? Hajui desturi ya CCM?

In my Opinion, Luhanga Mpina na Askofu Gwajima wanapaswa kufikiri zaidi. Wanatakiwa kujiongeza.

Nawasilisha.

Pia soma >
• Kwa Luhaga Mpina, mimi sina comment na kiuhalisia watajuana wenyewe huko ndani ya nyumba (CCM)yao chakavu inayovuja sana sasa

• Kwa Askofu & Mch Josephat Mathias Gwajima, huyo alikwenda CCM na kujiingiza huko hadi kupewa ubunge (Kumbuka: Alipewa na sio kuchaguliwa kwa kuwa mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali uporaji wa kura). Yes, alikuwa huko kwa kazi maalumu ya kijasusi (ujasusi wa kimbingu)

Ameifanya na kuikamilisha kiustadi na taarifa/report yake inafanyiwa kazi mbinguni na hiyo ndiyo itaamua hatima ya si ubunge wa Gwajima anymore, bali ni uwepo au maisha ya CCM kwa ujumla wake.

Mch. Gwajima hitaji lake si ubunge tena wala mafao ya kibunge. Sasa yeye ndiye anakwenda kuwa "Mfalme mkuu" wa nchi na taifa hili
 
Maza ameisha wa dis Magwajima!,kwa vile CCM ni chama cha wananchi,sio chama cha viongozi!,Gwajima agombee Kawe kwa tiketi ya CCM,na Mpina agombee Kisesa kwa tiketi ya CCM, kama wana Kawe wanampenda Gwajima,na wana Kisesa wanampenda Mpina,ni
wana CCM ndio
wataamua ,halafu chama kiwakate,watasimama
Upinzani kisha wananchi ndio wawaonyeshe viongozi nani zaidi kati ya viongozi wakuja,compared to their true sons!

Kama the determinant ya ushindi wa urais ni kura za kina Magwajima!,ningekuwa mimi,ningekuwa very careful na hawa Magwajima!,kama hao Magwajima wawili tuu, wanasumbua hivi, wakiwa CCM, wakijiunga upinzani
wakizunguka kanda ya Ziwa kuwaambia Magwajima,wasimchague mbaguzi fulani wa Magwajima,amini nakuambia,mtu anatoka kapa!。Magwajima sio watu wa mchezo mchezo!,wanaweza kummaliza mtu ndani ya dakika sifuri! 。
P
Mnajazwa mkajazika hv mshajiona bila nyie out ya 26 region ndo nyie mnamweka raisi dah kusoma si kuelimika ukitangukiza mahaba
 
Hivi Gwajima yuko wapi?
Ndiyo unajua leo? Wenzako wako mbele ya muda. Mpina alishajua siku nyingi na hata actions zake zinakuonyesha kabisa huyu hategemei kupata ubunge kupitia CCM tena. Hata Gwajima naye alishajua siku nyingi kuwa hatakiwi. Unadhani ile press alijizukia tu?
 
Mnajazwa mkajazika hv mshajiona bila nyie out ya 26 region ndo nyie mnamweka raisi dah kusoma si kuelimika ukitangukiza mahaba
Ule sio mkoa, ni Kanda determinant ya urais wa Tanzania!, ndilo the biggest tribe, limesambaa mikoa 5!. Mwanza, Tabora, Shinyanga, Simiyu, na Katavi, hapo bado jirani zetu wa Mara na Kagera!.
Kama unadhani hizi preferential treatment ya Kanda hii ni kwa bahati tuu, endelea kudhani!.
Kanda hii tukisema NO!, hata kama wengine wote watasema yes, NO itashinda!.
P
 
Mama Samia ametoa kauli tena akiwa na Uso wenye hasira kwamba "Luhanga Mpina ni Mbunge wa Kitaifa na siyo Mbunge wa Kisesa" akaendelea na kusema "Anaruka ruka tu" baada ya kauli hiyo NAOMBA kuuliza Swali la Ufahamu.

Je, Luhanga Mpina anaweza kujihesabu kama Mbunge wa CCM? Hiyo siyo kauli ya wazi kwamba ameshafukuzwa Ccm? Je, anaweza kufikiria hata kuchukua fomu ya CCM ili awe agombee Ubunge wa Jimbo la Kisesa kupitia CCM?

Lakini Pia Luhanga Mpina alipata wapi ujasiri wa Kusema Jimbo la Kisesa wanamdai mama? Hajui desturi ya CCM?

In my Opinion, Luhanga Mpina na Askofu Gwajima wanapaswa kufikiri zaidi. Wanatakiwa kujiongeza.

Nawasilisha.

Pia soma >
Kuondoka kwao chamani itakuwa ni nafuu kubwa kwa wasiowataka..kuendelea kubaki ni muhali mkubwa... Wao hawataki kuondoka kwa hiari ili kuwapa nafuu wengine! Labda wafukuzwe!
 
Ule sio mkoa, ni Kanda determinant ya urais wa Tanzania!, ndilo the biggest tribe, limesambaa mikoa 5!. Mwanza, Tabora, Shinyanga, Simiyu, na Katavi, hapo bado jirani zetu wa Mara na Kagera!.
Kama unadhani hizi preferential treatment ya Kanda hii ni kwa bahati tuu, endelea kudhani!.
Kanda hii tukisema NO!, hata kama wengine wote watasema yes, NO itashinda!.
P
2192C47C-C140-406E-9CC2-FCFE320F2CFB.jpeg
 
Back
Top Bottom