Na nyuma yu popo bawaMaisha yanarudi kinyumenyume.Hatari sana.
Hilo baskeli la umeme ulotuma picha ni laki naneUsafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo vingi. Misiba licha ya kuacha majonzi katika familia pia hupunguza nguvu kazi kwa Taifa.
Sasa Kama wenye magali wameamua kutumia baiskeli,inamaana barabala zimekuwa nyeupe na salaama,maana magali yamebakiUsafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo vingi. Misiba licha ya kuacha majonzi katika familia pia hupunguza nguvu kazi kwa Taifa.
Kwani Kuna shida kuendesha baiskel? Tadej Pogačar ni muitaliano Tajiri na usafiri wake ni baiskel