Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

Kwa staili hii washa siweki vocha na kujinga kipumbavu tena labda kwa dharura ikiwa salio langu la kawaida la mwezi limeisha.
IMG_20221114_175519.jpg


Nikitimiza mwezi mmoja katika kampeni yangu hii binafsi nitajiona mimi kweli mwamba .
 
Wiki ya pili inakaribia sasa nipo ,sio kama sina hela hapana ila sipendi kupandishiwa gharama muda wowote wanaojisikia wao .Ukikaa muda kidogo unakuta vifurushi vimepanda .

Nipo kwenye mgomo mwendo wa kuvizia free Wi-Fi na kutafuta machimbo ya Free VpN View attachment 2416540
Hili la free VPN hebu nipe ufafanuzi Kama ulifanikiwa au lah.na Kama ulifanikiwa unisaidie na Mimi mkuu.
 
Kampuni nao wamefeli kuweka Bei ndogo marakumi hata wange limit muda was kuisha wapunguze ila bando liwe kubwa hapa bado wangepiga hela Sana tu
 
Voda na HALOTEL
Umefeli hapo ,Voda mifumo yao ipo imara hairuhusu janja janja za VPN kwa Halotel nyingi zimepigwa hata kabla ya kupigwa nyingi zipo slow inakuwa Sawa na kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom