Kwa Sa100,Kama ana shida watu wasemee wapi
Makonda sijui alioga mzizi wa aina gani? Awe nje ya madaraka anazungumziwa, awe ndani ya madaraka anazungumziwa 😅😅😅😅.Nyota yake inawakaaaaa kama kawaida.. Ndivyo ilivyo, hakuna wa kuondoa hili.. tufurahie na yake 😅
Kazi iendelee...
• Bado sijaona sababu za kuwachukia makonda na sabaya..Mtu yeyote aliyesimamia ualifu lazima achukiwe, Makonda, Sabaya na mwingine sikuizi simsikii wote hao ni genge moja hawana sifa za kupewa uongozi nchi hii.
Huyu jamaa mjinga sana kaandika kimihemkoActualy sema arusha mjini ndio dogo kwa dar, ila kwa ukubwa wa ardhi arusha ni kubwa kuliko dar, just asilimia kubwa ya mji ni mapori including vivutio
Makonda ni moja ya wachapakazi wazuri sana.
sidhani kama wanamsema Makonda kama Makonda, nafikiri wanaongelea weledi wa mamlaka ya uteuzi? iweje wampeleke mtu mwenye makondo kando ya kudhurumu uhai wa watu huKo Arusha ili hali wakijua kwamba walio mtuhumu (USA) ndio wenye royal tour na utalii huko Arusha?• Muda mwingine tujaribu kupunguza chuki..... Sioni faida yakumusema huyu jamaa kila sekunde..
• Ndani ya Siku mbili hizi, Ni Zaidi ya Threads 10, anajadiliwa Makonda... ☹️☹️
Jitahidi kuficha upumbavuKwa Sa100,
😬😬😬😬Jitahidi kuficha upumbavu
Huyo jamaa amewekwa kwa ajili ya maslahi ya chama, hasa kufifisha nguvu upande wa chadema.. Siyo kwamba hawajui kinachoendelea..... Uchaguzi una mambo mengi sana.. Kila rangi itaonekana.sidhani kama wanamsema Makonda kama Makonda, nafikiri wanaongelea weledi wa mamlaka ya uteuzi? iweje wampeleke mtu mwenye makondo kando ya kudhurumu uhai wa watu huKo Arusha ili hali wakijua kwamba walio mtuhumu (USA) ndio wenye royal tour na utalii huko Arusha?
Siku huyo Balozi akienda huko Arusha kikazi itakuwaje? Hii mamlaka ya uteuzi huwa inafikiriaje kuchukua risk za namna hii? Hata kama ni calculated risk, ingefaa sana wampeleke Singida, Tabora, Lindi, Mtwara ambako hakuna madhara ya utalii kama huko Arusha... au labda wana jambo lao la kumharibia halafu wamuweke kando ,mazima? sijui ni nini hii mamlaka ya uteuzi inataka, wakati mwingine inakaribisha maneno ya sintofahamu juu ya uwelezi wao...
Hivi kuandamana kwa amani na kupeleka ujumbe kwa watawala sio haki ya Mtanzania?!Sasa hivi hakuna viroba vya kumtia mtu uchizi ajiandamanishe bure
Maandamano ya Arusha awamu Ile hayakuwa ya amani wahamasishaji waliwahongo vijana waliokata tamaa viroba vya zed na double punch 👊 wafanye vuruguHivi kuandamana kwa amani na kupeleka ujumbe kwa watawala sio haki ya Mtanzania?!
Vijana Wa Ara wanajitoaga ufahamu...eti wamepinda wamenyongorota... Sasa wamepelekewa daktari wa vichaa(makonda)....Mie natamani kuona kama na huko atapeleka drama zake, na itakuaje.....
View attachment 2950987
Daktari kichaa wagonjwa vichaa zaidi....wodini kumenogaVijana Wa Ara wanajitoaga ufahamu...eti wamepinda wamenyongorota... Sasa wamepelekewa daktari wa vichaa(makonda)....
Machqlii hayana lolote!Daktari kichaa wagonjwa vichaa zaidi....wodini kumenoga
Sawa mkuuMaandamano ya Arusha awamu Ile hayakuwa ya amani wahamasishaji waliwahongo vijana waliokata tamaa viroba vya zed na double punch 👊 wafanye vurugu
Nakubaliana na weweMkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na huyo jamaa isiyoeleweka visifanye jambo kubwa litakaloathiri usalama bila kuwasiliana na Dodoma.
Najua jamaa akifika ataanza kutoa amri za vitisho, karaha kwa kila mtu aliyepo Arusha.
Hii watalii hawapendi. Ni angalizo tu