Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

• Kwenye masuala ya siasa, tuhuma ni kitu cha kawaida sana... Labda kama mgeni hapa Tz.

• hii nchi inahitaji viongozi gaidi.. Ila hawa wa kila kitu kupiga makofi kila saa, hawafai hata kwa bure.
Huo ugaidi abaki nao nyumbani kwake.
 
Huku kaskazini siyo kwa Makonda!Drama zake siyo Rchuga labda mkoa mwingine
 
Huku kaskazini siyo kwa Makonda!Drama zake siyo Rchuga labda mkoa mwingine
Wewe hivi Arusha kuna nini hapo? Hata kwenye Jeshi la Polisi nyinyi sio Kanda maalum!
Mnatianaga ujinga sana lakini ni madebe matupu!
 
Kama ni hivyo mnavyodhani, basi hiyo ni fursa kuchanusha utalii kanda zingine. Utalii si Arusha peke yake

..utalii unatakiwa uongezeke Tz nzima.

..lakini Magufuli alikuwa anaamini ili utalii ukue kanda ya Ziwa anapaswa kuua utalii kanda ya kaskazini

..hizo zilikuwa ni fikra potofu.
 
Mawazo ya hovyo sana haya,punguza kuwaabudu hao US, nao wanamadhambi yao yasiyo pimika.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Huyo kwani aliwahi kukana shutuma zake za uhalifu alizozifanya pale Mawingu na sehemu nyingine?

Aliwahi kumuomba msamaha Warioba?

Huyo ni mhuni muhalifu tu.

Kwenye nchi za wenzetu alitakiwa awe ananyea debe.
Nenda kamshaki, akane shutuma za kipuuzi Ili iweje.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kama unadhani upinzani hawampendi think again, ndani ya chama chenyewe ndio maadui zake wakubwa walipo, unajua kilichomtoa kwenye uenezi?
Mwanasiasa mzuri ni yule anayekubalika na wananchi na sio kupendwa na wanasiasa wenzie. Hii tabia ya kuwachafua watu wanakubalika na wananchi imepitwa na wakati.
 
Bora umeandika uzi huu kunikumbusha.

Ngoja niwatonye wazungu hapa Arusha wachukue tahadhari na wakautaarifu ubalozi wao kuwa mtoa roho sasa ndiyo RC mpya wa Arusha.

Ili travel warning iandikwe haraka.
 
Bora umeandika uzi huu kunikumbisha.

Ngoja niwatonye wazungu hapa Arusha wachukue tahdhari na wakautaarifu ubalozi wao kuwa mtoa roho sasa ndiyo RC mpya wa Arusha.

Ili travel warning iandikwe haraka.
Wewe na wajinga wenzio mnawaona wazungu kama miungu fulani sio?
Acheni shobo,wazungu wamekuja kutalii halafu wewe unaanza kuwaletea upumbavu wenu wa siasa za ccm na chadema!
 

Angalizo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…