Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukoo wangu waujuwaJibu swali achana na mipasho. Kwa taarifa yako Elimu niliyonayo sidhani kuna mtu kwenu ukoo wenu anayo kwa sasa.
Eehh Kawaida kwenye msiba sio kwenye mazishi. Kuna msibani na mazishini. Mazishini ni kupeleka kelele kutakopelekea kuondoa Utulivu.Utulilivu gani? Kulia ni kawaida kbsa kwenye msiba
Waende kufanya nini labda!?. Hebu tuanzie hapo.Inafikirisha sana.
Hapa nimekuelewa sanaUislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu
Kwa unavyoendelea kuuliza maswali ya kipumbavu hivi, mtu anaelewa tu kwa urahisi kwamba hakuna kitu, sio kwako tu na kwa ukoo wako wote.Ukoo wangu waujuwa
Hakuna cha ibada wala nini. Nilimuelewa sana yule Muislamu alisemaKichwa chako hakie
Kichwa chako hakielewi na hutaelewa maandiko yanawazuia wanawake wewe unalzimisha kwa nini wanawake, na kwa nini wanawake wanazaa, hiyo ni Ibada wao wanakaa nyumbani inakuwa ibada, wanaume wanaenda makaburini inakuwa ni Ibada kwao، kama unataka dini iwe unavyotaka wewe haiwezekani na itaendelea kuwa hivyo, nimemalizana na wewe.
Usipo elewa na hapa basi 😄Kuoa hakujawai kuwa na maana nyingine zaidi ya kuoa.
Nchi za waarabu zimefungama na dini ya uislamu na zinafuata sharia (sheria za kiislamu). Chochote kitakachopitishwa na kuhalarishwa kimapewa baraka na mashehe, Maamuma, na maustaz kinafuata sharia za kiislamu Kama hakipo nje ya uislamu hawawezi pitisha
, Kama ni utamaduni na hakipo nje ya uislamu na kimepita, kwanini hawaruhusu watu wajenge makanisa? Kuuza pombe? Kucheza makamari? Migahawa kuuza chakula kipindi cha ramadhani?
Hapo wamepitisha sheria mtoto wa miaka 9 aolewe na siyo hiyo maana unayoeleza wewe
Sheria za dini zote ziko wazi kabisaCha kushangaza Hao hao wanaokatazwa kwenye dini yao,
Akifariki jirani Mkristo wana hudhuria kwa kufuata taratibu zote za kikristo,ikiwemo kumtazama Marehemu kwa mara ya mwisho(kuaga mwili wa marehem)
Na kuhudhuria makaburini wkt wa mazishi.
Hapana sio kweli, tunawaheshimu sana na mna nguvu sanaWanawake si watu
Ewe mtu mweusi mtumwa wa fikra zinduka usingizini. Hizo dini umeletewa na waliokuletea wamepokea hayo mabadiliko unayoyaita ukafili!Hakuna dini inayoenda na wakati.
Unachouliza ni kwamba mpaka sasa bado uislamu hauoni haja ya kuingiza mambo ya kipagani yaani yakikafili (mambo ya kisasa)kwenye dini
Mkuu hebu tuache kwanza mana hapa watakuja wale wa maswali ya bi. Aisha kuolewa na miaka 6 hata kunawa hajui, na issue ya bikra na kunywa pombe pepon. Tuongelee iasue zingineHakuna cha ibada wala nini. Nilimuelewa sana yule Muislamu alisema
Wanawake ni watu wa kulia lia kwahiyo wakienda makaburini itamsababishia maiti kutosamehewa na Allah kwa vilio vyao vinaweza kusababisha chukizo kwa Allah ndiyo maana hawaruhusiwi.
Ingekuwa ni ibada, basi haina haja ya kwenda msikitini.
View attachment 3214423
Kwahiyo ambao huwa hatulii ruksa kwenda makaburini?Hapana sio kweli, tunawaheshimu sana na mna nguvu sana
Ila mna hisia kali sana na huruma sana kwa hiyo kwenda kushuhudia mwenzio akizikwa mnaumia na kulia sana hilo ndio limekatazwa na sio kama mleta mada anavyoliona
Hapana ila wote tu hamruhusiwiKwahiyo ambao huwa hatulii ruksa kwenda makaburini?
Hapa ndipo swali langu lilipo. Naona wengine wamejibu kijazba sana.Hapana ila wote tu hamruhusiwi
Kazi ya kuzika tuachieni sisi
Ila kama ni mpendwa wako utamuaga home tu
Ila watu siku hizi hawana dogo hata uwakataze vipi bado watarekodi
Kwa hiyo mkitaka watawarekodia live ingawa pia sio vizuri
La muhimu ni kufuata mafundisho tu
Kwa sababu technology imekuwa sana na hakuna tena siriHapa ndipo swali langu lilipo. Naona wengine wamejibu kijazba sana.
Jee watakaorekodi hawatakuwa wanavunja taratibu za uzikaji za Kiislamu?
Na vipi ni kosa kuhudhuria kwenye mazishi ya mkristo?Kwa sababu technology imekuwa sana na hakuna tena siri
Ila kila wakati tunapokuwa mazishini huwa tunaombwa kuzima simu zetu kwa sababu za maandalizi ya mwanzo mpaka mwisho wa mazishi
Ni kawaida kusikia simu moja ikiita katikati ya mazishi
Lakini kurekodi pia hakuruhusiwi kwa privacy ya ndugu wa marehemu
Watu wengine huwa ni kero sana
Unamuona anarekodi hata marehemu hamhusu ili mradi tu atume kwa rafiki na kusema "hapa tunamzikq ndugu yetu"
Kuhusu kurekodi ili wanawake hakuna cha maana zaidi ya watu kukusanyika na kuona labda wanaposhusha maiti kaburini na hapo hufunikwa kitambaa juu ili wamsitiri mpendwa wao
Na wanaoruhusiwa kuingia kaburini na marehemu ni watu wa karibu nae sana
Wengine wanasubiri tu kufukia mchanga na kuaga
Nafikiri ni tofauti kubwa wanawake kuwepo na kuangalia clip za marehemu
Mkuu Dini ni muongozo wa Allah aliyetuumba na kufanya Kila kitu kama unavyokiona, baada ya hapo akatupa muongozo wa kumuabudia kama anavyotaka yeye, Kwa waislam mazishi ni Ibada, kama kwenda msikitni na ibada nyingine, je uliwahi ona wa msikitni na kanisani wamechanganyika wanasali mskitini au kanisani? Anayeenda kwenye mazishi si ya dini yake huyo hajaenda kwenye Ibada Bali ameenda kujionyesha aonekane naye alikuwepo Ili watu wasimseme, pia zingatia ibada hazina kuuliza kwa nini hivi kwa nini vile, kwa sababu Muumini anaamini maneno ya Allah hayana kasoro kinachobaki ni kifuata tu, pia elewa wanaodai tushirikiane katika hizi Dini si watu wa Dini Bali ni watu wanaotaka jamii zishirikiane na si watu wa dini kabisa.Na vipi ni kosa kuhudhuria kwenye mazishi ya mkristo?