Sio kweli. Sera zake kaziimba toka kijana, kama Adlolf Hitler. Yale yako moyoni.
Nenda You Tube tafuta interview za Trump election season mwaka 88 na 92. Analia jinsi ilivyo gharama kujenga USA kuliko China wakati kila kitu wanacho kuliko China.
Analia kwa uchungu jinsi China wanavyouza bidhaa zao USA wakati wao wanalimwa ushuru wa kufa mtu wakiingiza vitu China.
Anaulizwa, utagombea Urais, jibu lake ni lile lile, signature response, " we will see."
Ni sawa la kesho na keshokutwa Lissu awe Rais, halafu avunje Muungano, mseme ni mtu unpredictable wakati ni kilio chake Tanganyika tunanyonywa kama mazuzu, toka akiwa serikali ya wanafunzi sekondari.