Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

Hivi hao wa Marekani wamekua na akili kama za wabongo walivo sikia slogan yake ya "America first" wenyewe walikua wana elewa nini mpaka wamchague.
Hawajui kiingereza, ndio maana wakamchagua. Pengine angewaambia "Amerika kwanza" ndio wangemuelewa.
 
Anaweza kua amekosea kugusa kote,lakini kwa kuwagusa mashoga amepatia na kanifurahisha
 
Ni kweli wote wana matatizo ya akili. Huyu mzee ana mambo mazuri kama ya kukataa ushoga lakini kuna mambo yuko hovyo kabisaa. Hiyo ya kuwahamisha Wapalestina ni ndoto za mchana bora awaze kuwahamisha Wayahudi warudi kwao Europe kwa kina Hitler
Naam mkuu upo sahihi ngoja wazee wa Kazi watumwe wakamfyeke risasi ya kichwa.
 
Jpm alikua masikini, pia na roho ya chuki dhidi ya matajiri Trump ni tycoon sana anapenda matajiri wenzake hiyo ndo tofauti yao.
Haha mbona haohao matajiri wenzie wengine kama wakina Bill Gates, George Soros anawapa taabu hadi Bill Gates kasema kuna ishu ikiwekwa hadharani anahama marekani
 
Kuna mwamba aliwahi kuandika humu hata kabla ya uchaguzi kwamba D Trump ataenda na maji kama ataendelea kuendekeza sera zake hizi
 
Ile risasi ilipomkosa alihama dunia hii na pia hamuamini yeyote,nadhani hayuko sawa kiakili,Marekani ni nchi ya wahamiaji na yeye mwenyewe mhamiaji,sasa wakimchelewesha shauri yao,Magu mwenyewe hakuwahi gusa mambo mengi kama huyo Mzee wa risasi ya sikio
 
Trump is unpredictable president.

Sio kweli. Sera zake kaziimba toka kijana, kama Adlolf Hitler. Yale yako moyoni toka utotoni.

Nenda You Tube tafuta interview za Trump election seasons za miaka ya 88 na 92. Analia jinsi ilivyo gharama kujenga majengo USA kuliko China wakati kila kitu wanacho kuliko China.

Analia jinsi China wanavyouza bidhaa zao USA wakati wao wanalimwa ushuru wa kufa mtu wakiingiza vitu China.

Anaulizwa, utagombea Urais, jibu lake ni lile lile signature response, " we will see."

Ni sawa kesho na keshokutwa Lissu awe Rais, halafu avunje Muungano, mseme ni mtu unpredictable, wakati ni kilio chake Tanganyika tunanyonywa kama mazuzu toka akiwa serikali ya wanafunzi sekondari.
 
Watu acheni unafiki kwani Trump amechaguliwa na wamarekani kuwaongoza sasa nashangaa hilo linawahusuje watu wanaoshindia chai ya rangi na mihogo ya kuchemsha.

Nyie badala ya kupambana kuwaondoa hawa wakoloni weusi wanaowatawala bila ya nyie kuwachagua mnapoteza muda kushupalia mambo ya Marekani. Bure kabisa.
 
You nailed it.
 
Akili za wavaakbazi zimejaa mavi tena uharo.

Nyie juzi mlisema USA kunanuka mavi kisa ushoga,kaja mwamba anapambana na ushoga mmeanza kununa.

Mwamba anataka kujenga upya mji wa gazs uwe makao ya kila jamii duniani,hamtaki mnataka muendelee kuifanya gaza ni maskani ya wavaakobazi magaidi.

Tulieni dwa chugu ila inaponya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…