Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga.

Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue.

Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui.

Sasa hapa tujuane kwa tabia zetu mbaya.

Binafsi:-
Siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka, nakunywa hadi niwe nduki.
Baada ya hapo lazima nitoke na totoz, na mara kadhaa nimejikuta nabeba mijitu ya ajabu sana.

Bujibuji
 
Pale corner bar utakuwa mtu maarufu sana Mkuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Napenda kwenda kwenye wauza k na kuchagua kazigo kale nafsi inataka kutafuna kwa mlo wa siku hiyo, kwa zana maalumu,usiende huku ukiwa umepata kilevi utaangamia.
#Iga_ufe.
 
"Binafsi:-
siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka, nakunywa Hadi niwe nduki."


πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa tupo woteπŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏ ndio maana mtu hawezi niitia pombe Kama Sina hela nikaenda..... Huwa napenda niwe tope kabisa.
 
Huu uzi wa kuweka kambi aisee nijione na mimi mtakatifu kidogo. Masadukayo mnatoa mavitu mazito mazito mnoo.

Kwangu mimi nilikua muumini mtiifu wa mbususu za barabarani nimezila mnooo. Sasa nimepumzika kidogo. Mbaya zaidi ukila gambe aisee nitatafuta mbususu hadi niipate nisuuze rungu ndo nilale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…