Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga.

Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue.

Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui.

Sasa hapa tujuane kwa tabia zetu mbaya.

Binafsi:-
Siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka, nakunywa hadi niwe nduki.
Baada ya hapo lazima nitoke na totoz, na mara kadhaa nimejikuta nabeba mijitu ya ajabu sana.

Bujibuji
 
"Binafsi:-
siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka, nakunywa Hadi niwe nduki."


🤣🤣🤣🤣😂😂😂 hapa tupo wote👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿 ndio maana mtu hawezi niitia pombe Kama Sina hela nikaenda..... Huwa napenda niwe tope kabisa.
 
Huu uzi wa kuweka kambi aisee nijione na mimi mtakatifu kidogo. Masadukayo mnatoa mavitu mazito mazito mnoo.

Kwangu mimi nilikua muumini mtiifu wa mbususu za barabarani nimezila mnooo. Sasa nimepumzika kidogo. Mbaya zaidi ukila gambe aisee nitatafuta mbususu hadi niipate nisuuze rungu ndo nilale
 
Back
Top Bottom