Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 355
- 486
Hoja ni ya msingi na izingatiwe.
Jeshi la polisi liunde kikosi maalum cha askari wasomi kuchunguza kadhia zinazoendelea ndani ya chama hicho kwani, joto la uchaguzi ndani ya chama hicho lipo juu kwa kuzingatia ukweli kwamba;
*Uchaguzi wa mwakani utakuwa wa kidemokrasia kwahiyo kama mtu atatamba vyema jukwaani bila kujali chama basi bungeni ni lazima.
Ikumbukwe kuwa kwenda bungeni ni political sky rocketing hivyo kila mtu anaeweza kuifikia nafasi hiyo hujaribu kufanya chochote ili ku-eliminate any possible threat kwake.
Nadharia hii inaweza kufanana na ya mchungaji Msigwa, he has been declared a threat to someone hivyo kashughulikiwa kihuni hadi akahama chama.
Wanachama wa chama hicho wanaoshughulikiwa na wasiojulikana ni possible threats kwa watu ndani ya chama katika kuwania nafasi za kisiasa.
Kwa vile kuna nadharia ya watu wasiojulikana basi lawama za kila mtu zinaelekezwa hata kipropaganda kwa jeshi letu la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama.
Najaribu kufikiri kuwa kuna matumizi ya polisi bandia yanaendelea huku lawama zikipelekwa TANPOL.
Kwa wale wenye uzoefu wa kupitapita mijini bila shaka mnawafahamu aina hii ya wahalifu.(hata mimi nimewahi kukamatwa na polisi feki however nilijua kinachoendelea but i had no option.).
katika mazingira ya kitapeli huwa wanabehave kwa ukali sana ili mtuhumiwa usiwe na doubt juu ya uaskari wao, na watu wanalizwa sana tu.(na magari wanayo).
Katika mazingira ya kugombania madaraka, sayansi ya siasa inasema inawezekana kwa asilimia zote uhalifu wa namna hii kufanyika kwa vile ni a very soft elimination mechanism. ni soft kwakuwa haina bughudha kwa pepetrators.
Kufuatia yanayoendelea kwa wanachama wa chama hicho, nashauri Mchungaji Msigwa, aliekoma kuwa mwanachama wa chama hicho,na kuhamia chama cha mapinduzi, apewe uangalizi mzuri ili kulinda usalama wake.
Najaribu kufikiri tu.
Jeshi la polisi liunde kikosi maalum cha askari wasomi kuchunguza kadhia zinazoendelea ndani ya chama hicho kwani, joto la uchaguzi ndani ya chama hicho lipo juu kwa kuzingatia ukweli kwamba;
*Uchaguzi wa mwakani utakuwa wa kidemokrasia kwahiyo kama mtu atatamba vyema jukwaani bila kujali chama basi bungeni ni lazima.
Ikumbukwe kuwa kwenda bungeni ni political sky rocketing hivyo kila mtu anaeweza kuifikia nafasi hiyo hujaribu kufanya chochote ili ku-eliminate any possible threat kwake.
Nadharia hii inaweza kufanana na ya mchungaji Msigwa, he has been declared a threat to someone hivyo kashughulikiwa kihuni hadi akahama chama.
Wanachama wa chama hicho wanaoshughulikiwa na wasiojulikana ni possible threats kwa watu ndani ya chama katika kuwania nafasi za kisiasa.
Kwa vile kuna nadharia ya watu wasiojulikana basi lawama za kila mtu zinaelekezwa hata kipropaganda kwa jeshi letu la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama.
INAYOWEZA KUWA NAMNA YA UTEKAJI
*Matumizi ya polisi bandia (feki).Najaribu kufikiri kuwa kuna matumizi ya polisi bandia yanaendelea huku lawama zikipelekwa TANPOL.