Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja ni ya msingi na izingatiwe.

Jeshi la polisi liunde kikosi maalum cha askari wasomi kuchunguza kadhia zinazoendelea ndani ya chama hicho kwani, joto la uchaguzi ndani ya chama hicho lipo juu kwa kuzingatia ukweli kwamba;

*Uchaguzi wa mwakani utakuwa wa kidemokrasia kwahiyo kama mtu atatamba vyema jukwaani bila kujali chama basi bungeni ni lazima.

Ikumbukwe kuwa kwenda bungeni ni political sky rocketing hivyo kila mtu anaeweza kuifikia nafasi hiyo hujaribu kufanya chochote ili ku-eliminate any possible threat kwake.

Nadharia hii inaweza kufanana na ya mchungaji Msigwa, he has been declared a threat to someone hivyo kashughulikiwa kihuni hadi akahama chama.

Wanachama wa chama hicho wanaoshughulikiwa na wasiojulikana ni possible threats kwa watu ndani ya chama katika kuwania nafasi za kisiasa.

Kwa vile kuna nadharia ya watu wasiojulikana basi lawama za kila mtu zinaelekezwa hata kipropaganda kwa jeshi letu la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama.

INAYOWEZA KUWA NAMNA YA UTEKAJI
*Matumizi ya polisi bandia (feki).

Najaribu kufikiri kuwa kuna matumizi ya polisi bandia yanaendelea huku lawama zikipelekwa TANPOL.
Kwa wale wenye uzoefu wa kupitapita mijini bila shaka mnawafahamu aina hii ya wahalifu.(hata mimi nimewahi kukamatwa na polisi feki however nilijua kinachoendelea but i had no option.).

katika mazingira ya kitapeli huwa wanabehave kwa ukali sana ili mtuhumiwa usiwe na doubt juu ya uaskari wao, na watu wanalizwa sana tu.(na magari wanayo).

Katika mazingira ya kugombania madaraka, sayansi ya siasa inasema inawezekana kwa asilimia zote uhalifu wa namna hii kufanyika kwa vile ni a very soft elimination mechanism. ni soft kwakuwa haina bughudha kwa pepetrators.

Kufuatia yanayoendelea kwa wanachama wa chama hicho, nashauri Mchungaji Msigwa, aliekoma kuwa mwanachama wa chama hicho,na kuhamia chama cha mapinduzi, apewe uangalizi mzuri ili kulinda usalama wake.

Najaribu kufikiri tu.
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Endelea kudhihaki watu, sidhani kama wewe ni Mjanja sana kuzidi Ole General Sabaya au hata JPM.
Wakati wenu tambeni lakini Mwenyezi Mungu anajua kila kitu.
 
huenda wasio taka changamoto kwenye sanduku la kura uchaguzi wa chadema wanajuana zaidi 🐒

mihemko na ghadhabu hazina maana,calm down
Kumbuka mliyemuua ni baba wa familia, babu na pia ni Mtanzania.

Unapoendeleza kejeli kwenye nyakati ngumu hivi ni wazi damu uliyoshiriki kuimwaga imeanza kuleta athari kwako. Wewe jione upo sawa lakini tayari harakati zako zimeanza kujionesha mbele ya umma kupitia kauli na mwenendo wako.

Ukidumu zaidi utajikuta kwenye wadi ya maradhi ya akili, usipodumu sana utaiendea njia ya uliyoshiriki kiwapeleka wasio na hatia
 
Endelea kudhihaki watu, sidhani kama wewe ni Mjanja sana kuzidi Ole General Sabaya au hata JPM.
Wakati wenu tambeni lakini Mwenyezi Mungu anajua kila kitu.
Mkuu
Huyu jamaa tayari ameshatoa codes zote ni miongoni mwa wahusika wa hivi vido vya mauaji
 
Hoja ni ya msingi na izingatiwe.

Jeshi la polisi liunde kikosi maalum cha askari wasomi kuchunguza kadhia zinazoendelea ndani ya chama hicho kwani, joto la uchaguzi ndani ya chama hicho lipo juu kwa kuzingatia ukweli kwamba;

*Uchaguzi wa mwakani utakuwa wa kidemokrasia kwahiyo kama mtu atatamba vyema jukwaani bila kujali chama basi bungeni ni lazima.

Ikumbukwe kuwa kwenda bungeni ni political sky rocketing hivyo kila mtu anaeweza kuifikia nafasi hiyo hujaribu kufanya chochote ili ku-eliminate any possible threat kwake.

Nadharia hii inaweza kufanana na ya mchungaji Msigwa, he has been declared a threat to someone hivyo kashughulikiwa kihuni hadi akahama chama.

Wanachama wa chama hicho wanaoshughulikiwa na wasiojulikana ni possible threats kwa watu ndani ya chama katika kuwania nafasi za kisiasa.

Kwa vile kuna nadharia ya watu wasiojulikana basi lawama za kila mtu zinaelekezwa hata kipropaganda kwa jeshi letu la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama.

INAYOWEZA KUWA NAMNA YA UTEKAJI
*Matumizi ya polisi bandia (feki).

Najaribu kufikiri kuwa kuna matumizi ya polisi bandia yanaendelea huku lawama zikipelekwa TANPOL.
Kwa wale wenye uzoefu wa kupitapita mijini bila shaka mnawafahamu aina hii ya wahalifu.(hata mimi nimewahi kukamatwa na polisi feki however nilijua kinachoendelea but i had no option.).

katika mazingira ya kitapeli huwa wanabehave kwa ukali sana ili mtuhumiwa usiwe na doubt juu ya uaskari wao, na watu wanalizwa sana tu.(na magari wanayo).

Katika mazingira ya kugombania madaraka, sayansi ya siasa inasema inawezekana kwa asilimia zote uhalifu wa namna hii kufanyika kwa vile ni a very soft elimination mechanism. ni soft kwakuwa haina bughudha kwa pepetrators.

Kufuatia yanayoendelea kwa wanachama wa chama hicho, nashauri Mchungaji Msigwa, aliekoma kuwa mwanachama wa chama hicho,na kuhamia chama cha mapinduzi, apewe uangalizi mzuri ili kulinda usalama wake.

Najaribu kufikiri tu.
Kwa hiyo haya yoote yanaendwa na Chama cha Chadema huku jwtz, Tiss, TanPol, na intelijensia zote za Nchi zikiwa zimelala?
Kwani hili ni tukio la kwanza na limeanza leo tu?
What and how have the Organs mentioned done?
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Mbona msomi kabisa afu hoja za kijuha aisee.Dah!,mnachezea maisha ya watu kama mnavyotaka.
 
Mkuu
Huyu jamaa tayari ameshatoa codes zote ni miongoni mwa wahusika wa hivi vido vya mauaji
Yeah unaona kabisa hana chembe ya hisia za maumivu. Anajaribu ku diverge mjadala.

Anyways
Tunamwachia Mungu, tumekuwa wacha Mungu na kutenda mema wakati wote kwa ajili ya Nchi Yetu.

Tunaka Mungu wa Israel asit
 
Tunaka Mungu wa Israel asituache tuteseke, asimame upande wetu.
Na kwa hakika Mkono wa Bwana utaonekana soon
 
*Matumizi ya polisi bandia (feki).

Najaribu kufikiri kuwa kuna matumizi ya polisi bandia yanaendelea huku lawama zikipelekwa TANPOL.
Mnatafuta kujitoa hivyo mmeanza kuzitaja mbinu zenu kenge nyie. Katika hili msitarajie kuchomoka. Mbinu zenu ni chakavu vilevile na uzuri huko CCM watu wameshachoka na upuuzi wenu na kila kitu kipo wazi na ni swala la muda tu. Hizi nyuzi mnazokuja nazo humu ni too late, the best early time ilikuwa ni kuachana na upumbavu wenu wa kuteka na kuua watu.
Sasa hivi mnakuja na lame reasons za eti CHADEMA ndiyo wanaofanya haya, hivi mnadhani watu ni mapunga na mapunguani kama ninyi?
 
Endelea kudhihaki watu, sidhani kama wewe ni Mjanja sana kuzidi Ole General Sabaya au hata JPM.
Wakati wenu tambeni lakini Mwenyezi Mungu anajua kila kitu.
ni muhimu kua jasiri, acha unyonge ulioambatana na mihememko..
Mungu ni watu wote wamchao , wala huna haja kumtisha mwingine juu yake 🐒

by the way,
why matukio haya yatokee kipindi cha uchaguzi wa chadema?

why wanao kumbwa na singombingo hii ni chadema pekee? na mtoa taarifa mwanzo wa kutekwa hadi mwisho wa tukio ni huyo huyo, yeye anahusika kwa kiasi gani kwenye singombingo hii ya kabokamchizi?

why yanaongezaka kuelekea nafasi za juu chadema?

hakuna namna kweli hapo?🐒
 
Wewe ndio unadhani una uwezo wa kuhoji kuliko hivyo vyombo vyenye weledi?
Acha siasa za maji taka bwana Tlaatilaah
 
tumia kiswahili nikuelewe vizuri
Mmatafuta kujitoa hivyo mmeanza kuzitaja mbinu zenu kenge nyie. Katika hili msitarajie kuchomoka. Mbinu zenu ni chakavu vilevile na uzuri huko CCM watu wameshachoka na upuuzi wenu na kila kitu kipo wazi na ni swala la muda tu. Hizi nyuzi mnazokuja nazo humu ni too late, the best early time ilikuwa ni kuachana na upumbavu wenu wa kuteka na kuua watu.
Sasa hivi mnakuja na lame reasons za eti CHADEMA ndiyo wanaofanya haya, hivi mnadhani watu ni mapunga na mapunguani kama ninyi?
Mkuu hizi ni nadharia tu. jitahidi kujenga hoja achana na lugha za matusi.
matusi si hoja
 
Yeah unaona kabisa hana chembe ya hisia za maumivu. Anajaribu ku diverge mjadala.

Anyways
Tunamwachia Mungu, tumekuwa wacha Mungu na kutenda mema wakati wote kwa ajili ya Nchi Yetu.

Tunaka Mungu wa Israel asituache tuteseke, asimame upande wetu.
Na kwa hakika Mkono wa Bwana utaonekana soon
pwagu na pwaguzi wanapeana moyo🤣

Mungu ni wa wote wamchao sio wapiga ramli kama hivyo gentleman 🐒
 
Kama tunafika mahali chombo chenye dhamana ya kulinda usalama wa raia kinashindwa kutekeleza majukumu yake au kinafuata maagizo, tunaelekea pabaya.

Hapa sio suala la chama Gani au nani anahusika na utekaji/ uuaji, kama vyombo vilivyopewa dhamana vinafanya kazi Yao ipasavyo, hakutakua na huu mkanganyiko.

Tumefika mahali hata ukifuatwa na polisi wakiwa kwenye taratibu zao za kazi, unajawa na hofu kuhusu usalama wako.

Hili jambo yapaswa ushabiki na uchawa wa vyama uwekwe pembeni wanaohusika wasakwe na kuchukuliwa hatua bila kujali wanatoka vyama gani vya siasa.
 
Umejiunga August tarehe 19 2024 kuja kuleta ujinga. Yani lawama unawapa CHADEMA ? Stupid idiot
mzoefu toa point za maana, elezea ukuu na uzoefu wako watu wakaelimika na kuongeza uelewa na ufahamu wao juu ya mambo haya,

sasa unapanic na mihemko, na huna hoja, halafu unajimwambafai tu wewe ni mzoefu umejiunga 1999 na mwingine wamejiunga majuzi? kweli?🐒
 
hebu cheki,

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?
Unamanisha kabla ya uchaguzi wa chadema hakukuwa na utekaji wala mauaji?

Aliyechoma picha ya Rais ni mwanachama wa chadema au sasa imekuwa kila mtekwaji au muuliwa ni chadema?

Kutokana na hali ilivyo nchini kwasasa mtu yeyote makini asiyejihusisha na utekaji au uuaji lazima awe makini sana kutoa taarfa hasa zenye mazingira ya utata.

Issues za uhai hazipaswi kuwa za kundi maalumu tukumbuke uwezo wako wa leo unaweza kutofautiana na kizazi chako cha kesho.

Wanaouawa ama kutekwa wawe wanachama wa vyama vya siasa au wasiwe wanapaswa kufuatiliwa na kutolewa taarfa sahihi za kina.

Kwanini matukio yanayohusu upande X huwa yanashughulikiwa immediately na vyombo vya dola vinatoa majibu chanya???
 
Back
Top Bottom