Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama tunafika mahali chombo chenye dhamana ya kulinda usalama wa raia kinashindwa kutekeleza majukumu yake au kinafuatia maagizo, tunaelekea pabaya.

Hapa sio suala la Chama Gani au nani anahusika na utekaji) uuaji, kama vyombo vilivyopewa dhamana vinafanya kazi Yao ipasavyo, hakutaka na huu mkanganyiko.

Tumefika mahali hata ukifuatwa na polisi wakiwa kwenye taratibu zao za kazi, unajawa na hofu kuhusu usalama wako.

Hili jambo yapaswa ushabiki na uchawa wa vyama uwekwe pembeni wanaohusika wasakwe na kuchukuliwa hatua bila kujali wanatoka vyama Gani vya siasa.
uko sawa kabisa ,

na ndicho kinachofanyika siku zote,

hata hivyo achana na mihemko wala kujihusisha na masula ya unyumbu au uchawa hizo ni useless narratives politically speaking 🐒
 
Mkuu hizi ni nadharia tu. jitahidi kujenga hoja achana na lugha za matusi.
matusi si hoja
Ungekuwa na hoja ungejibiwa kwa hoja, badala yake unaandika upuuzi mtupu na matokeo yake majibu yake unayaona kuwa ni matusi.
Hakuna majibu tofauti utakayoyapata kwa upuuzi uliouandika
 
Tumuombe sana Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi

Siku zote msaliti huwaga ni yule anayeaminiwa sana na Msalitiwa

Huu Utekaji siyo ule uliozoeleka Nyakati zile

Mungu wa Mbinguni Utuhurumie sisi Wenye Dhambi, Tumekosa sisi Tumekosa sisi Tumekosa sana!
Aimen,
na kwa Baraka na Neema za Mungu toba na msamaha wa kila mkosefu uambatane na sadaka tafadhali 🐒
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Acha kufikiri kwa kutumia nyashi
 
Mungu Ibariki Tanzania.
Sina shaka yoyote ya uhusika wako katika mambo haya ya kishenzi kabisa wanayo fanyiwa waTanzania kwa sasa hivi.
Huyu "Mungu" unayemtumia kipumbavu namna hii atakuwa ni wa ajabu sana.
 
mapendekezo muhimu zaidi ya kwenye hoja yangu ya msingi, ndio pekee suluhu mujarabu ya mashaka na wasiwasi ulio nao juu ya songombingo ya utekaji.
ni muhimu sana kuanzia hapo kwenye msingi wa utekaji wenyewe...

Mungu ni Mwema sana kwa wale wote wamchao 🐒
 
Tumuombe sana Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi

Siku zote msaliti huwaga ni yule anayeaminiwa sana na Msalitiwa

Huu Utekaji siyo ule uliozoeleka Nyakati zile

Mungu wa Mbinguni Utuhurumie sisi Wenye Dhambi, Tumekosa sisi Tumekosa sisi Tumekosa sana!
Hopeless Kabisa.
Nawe sasa umejipambanua moja kwa moja kuwa mhusika.
 
mapendekezo muhimu zaidi ya kwenye hoja yangu ya msingi, ndio pekee suluhu mujarabu ya mashaka na wasiwasi ulio nao juu ya songombingo ya utekaji.
ni muhimu sana kuanzia hapo kwenye msingi wa utekaji wenyewe...

Mungu ni Mwema sana kwa wale wote wamchao 🐒
'Actually' sina shaka yoyote tena na wewe. Wewe ni adui mkubwa. Kilicho baki ni siku moja kukutoa mbele za haki tu basi.
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Sasa si wakamatwe TU? Kwani wao wapo juu ya Sheria?
 
'Actually' sina shaka yoyote tena na wewe. Wewe ni adui mkubwa. Kilicho baki ni siku moja kukutoa mbele za haki tu basi.
ni ushirikina kua na imani na mja wa Mungu, actually ni kufuru..

ni muhimu zaidi kutokua na hata chembe ya shaka na Baraka na Neema za Mungu anazokujaalia kila uchwao..

na zaidi sana,
kuelekea kwa Muumba, kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewa, hakuna miujiza pale gentleman 🤣
 
Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Hata kama tuna ushabiki wa kisiasa linapokuja suala la kutoa uhai wa mtu siasa iwekwe pembeni.
 
Mtoa mada Ana hoja asikilizwe sio apingwe tu acheni jazba SIASA ina michezo michafu sana Muda mwingi CONSPIRACIES CAN BE INVOLVED
 
Hata kama tuna ushabiki wa kisiasa linapokuja suala la kutoa uhai wa mtu siasa iwekwe pembeni.
kujiridhisha na kubainisha ukweli,

ni muhimu sana mapendekezo yangu mujarabu yakazingatiwa na hakuna haja yeyote kushupaza shingo au kudindia mapendekezo hayo ya kiungwana kabisa kwenye matukio kama haya 🐒
 
CHADEMA ina kashfa ya kulipua bomu kwenye mkutano wao wenyewe pale Soweto, Arusha kwahiyo lolote linawezekana.
 
Kila kitu kinawezekana
Najiuliza sana kwanini Chama kimoja tu ndio watu wanapotezwa? Wakati kuna vyama vingi nchini
Siwezi kusema chama hiki ni tishio kubwa kwenye siasa za tz hadi kuogopewa hivyo na kuuwa mpaka wanaopiga kelele mitandaoni
Mungu awasaidie ila mjichunguze sana kati yenu
Mungu awarehemu waliotangulia mbele ya Haki
Na watalipwa kwa waliyotendewa
 
Back
Top Bottom