mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Daaah. Ee mungu tusaidie. Kuuana Kama ndege/kuku sio sawa hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sawa kabisa ,Kama tunafika mahali chombo chenye dhamana ya kulinda usalama wa raia kinashindwa kutekeleza majukumu yake au kinafuatia maagizo, tunaelekea pabaya.
Hapa sio suala la Chama Gani au nani anahusika na utekaji) uuaji, kama vyombo vilivyopewa dhamana vinafanya kazi Yao ipasavyo, hakutaka na huu mkanganyiko.
Tumefika mahali hata ukifuatwa na polisi wakiwa kwenye taratibu zao za kazi, unajawa na hofu kuhusu usalama wako.
Hili jambo yapaswa ushabiki na uchawa wa vyama uwekwe pembeni wanaohusika wasakwe na kuchukuliwa hatua bila kujali wanatoka vyama Gani vya siasa.
Ungekuwa na hoja ungejibiwa kwa hoja, badala yake unaandika upuuzi mtupu na matokeo yake majibu yake unayaona kuwa ni matusi.Mkuu hizi ni nadharia tu. jitahidi kujenga hoja achana na lugha za matusi.
matusi si hoja
karibu tenaUngekuwa na hoja ungejibiwa kwa hoja, badala yake unaandikavupuuzi mtupu na matokeo yake majibu yake unayaona kuwa ni matusi.
Hakuna majibu tofauti utakayoyapata kwa upuuzi uliouandika
Aimen,Tumuombe sana Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi
Siku zote msaliti huwaga ni yule anayeaminiwa sana na Msalitiwa
Huu Utekaji siyo ule uliozoeleka Nyakati zile
Mungu wa Mbinguni Utuhurumie sisi Wenye Dhambi, Tumekosa sisi Tumekosa sisi Tumekosa sana!
Acha kufikiri kwa kutumia nyashiSi bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Sina shaka yoyote ya uhusika wako katika mambo haya ya kishenzi kabisa wanayo fanyiwa waTanzania kwa sasa hivi.Mungu Ibariki Tanzania.
mapendekezo muhimu zaidi ya kwenye hoja yangu ya msingi, ndio pekee suluhu mujarabu ya mashaka na wasiwasi ulio nao juu ya songombingo ya utekaji.Sina shaka yoyote ya uhusika wako katika mambo haya ya kishenzi kabisa wanayo fanyiwa waTanzania kwa sasa hivi.
Huyu "Mungu" unayemtumia kipumbavu namna hii atakuwa ni wa ajabu sana.
Hopeless Kabisa.Tumuombe sana Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi
Siku zote msaliti huwaga ni yule anayeaminiwa sana na Msalitiwa
Huu Utekaji siyo ule uliozoeleka Nyakati zile
Mungu wa Mbinguni Utuhurumie sisi Wenye Dhambi, Tumekosa sisi Tumekosa sisi Tumekosa sana!
'Actually' sina shaka yoyote tena na wewe. Wewe ni adui mkubwa. Kilicho baki ni siku moja kukutoa mbele za haki tu basi.mapendekezo muhimu zaidi ya kwenye hoja yangu ya msingi, ndio pekee suluhu mujarabu ya mashaka na wasiwasi ulio nao juu ya songombingo ya utekaji.
ni muhimu sana kuanzia hapo kwenye msingi wa utekaji wenyewe...
Mungu ni Mwema sana kwa wale wote wamchao 🐒
Sasa si wakamatwe TU? Kwani wao wapo juu ya Sheria?Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
ni ushirikina kua na imani na mja wa Mungu, actually ni kufuru..'Actually' sina shaka yoyote tena na wewe. Wewe ni adui mkubwa. Kilicho baki ni siku moja kukutoa mbele za haki tu basi.
kujiridhisha na kubainisha ukweli,Hata kama tuna ushabiki wa kisiasa linapokuja suala la kutoa uhai wa mtu siasa iwekwe pembeni.