Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.

Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa

Huu ndio ukweli
 
Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenya , level zetu sisi ni Uganda.
20250626_073900.jpg
 
Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenye , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079
Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
 
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.

Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa

Huu ndio ukweli
Lugha inachangia kidogo sana, akili ndo ya kwanza kutukosesha kwenye ushindani wa ajira.
 
licha ya kutojua kiingereZa Pia Akili zetu watanzania ni ndogo sana tuna average IQ, mbongo na Mkongo man elewa zao haziachani sanaa, wale wanawaza muziki sisi tunawaza mpira na bongo freva.
Kweli akili ndogo, eti wakongo wana waza muziki, sisi tunawaza bongo freva (flavor).
Kwahiyo hiyo bongo "freva" siyo muziki?
 
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.

Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa

Huu ndio ukweli
Kazi gani unaongelea hapa?

Hao Wasomali, Eritrea, Waarabu na Wachina wanaoenda huko nje wanaongea Kiingereza gani?
 
Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
Na Burundi tunaivana kweli😁
 
Pitia kwenye majukwaa ya kimataifa huko uone wabongo wanavyojificha kwenye mijadala inayohitaji akili kubwa.
Wabongo wengi,
  • Hawana njaa
  • Wameridhika na amani
  • Hawajishighulishi kujifunza
  • Hawajui chochote kinachoendelea nje ya nchi zao

Mngekuwa mnajua maisha yalivyo, huko nje na kazi zinazofanyika hata hizi shobo za waafrika kuwa nje msingekuwa nazo.
 
Back
Top Bottom