Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

Kutokujua Kiingereza kunatukwamisha Watanzania kuingia Soko la ajira duniani

Warundi wajanjawanjana wale wanatuzidi kwa mbali sana wanapiga vizuri French wanapiga kiingereza wanapiga icho kiswahili chenu
Nchi zote ambazo kwao usalama ni kidogo na maisha ni magumu watu wake wanapambana kutoka,
  • DRC
  • Burundi
  • Eritrea
  • Somalia
  • Ethiopia
  • Kenya

Watu wanajilipua kwasababu hawana cha kupoteza wanakoenda.

Ni sawa na TZ, huko Kilimanjaro maisha ni magumu na raslimali ni chache, ndio maana wachagga wengi wanatoka Kilimanjaro wanaenda mikoa mingine, na wakifika huko wanawageuza wenyeji kuwa mazuzu na wengine mpaka wanakuwa wabunge.

Kuna wachagga wabunge, Morogoro, Arusha.
 
Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
Labda msumbiji ila warundi hpn aisee hao wameshaenea sana huko duniani labda kwa kuwa kwao hakukaliki
 
Labda msumbiji ila warundi hpn aisee hao wameshaenea sana huko duniani labda kwa kuwa kwao hakukaliki
Ni meishi na warundi nje ya nchi ila nacho jua Warundi ni waminifu asanaa kwenye biashara na watu wanao asema ukweli wana bidii saana kwenye kazi na wana heshima sanaa kwa wakuu wao......hivyo vitu vyote ni adimu kwa mbongo, mtanzania halisi hawezi kunyooshwa maelezo wanapenda saana dubious bussiness.
 
Huu ni ukweli mchungu kiingereza ni changamoto kubwa hasa kwa vijana waliosoma shule za serekali wanaotoka chuo tu. Mimi nakumbuka nilifeli interview ya pili ya PWC ya oral na kilichonifelisha hasa naliona ni kiingereza. Walikuwa wana program yao ya kuchukua candidates vyuoni.

Mimi najitafuta ila mwanagu kama hatasoma IST basi atasoma shule the likes ya hiyo. Lugha ya malkia inaonekana kuwa muhimu sana kwenye hili soko la mkoloni. Ukiongelea uwezo wa kufikiri mitaala yao inaonekana inapambanua vizuri hilo kuliko ya kwetu.

Lastly tukumbuke kutengeneza vikampuni vyetu tukiwa tumeajiriwa kikienda vizuri kikakupa mara tatu ya mshahara wako kwa miezi kadhaa, unapiga kazi chini unakisimamia kwa umakini zaidi full time, tuige model za wahindi mpaka mzee ukiishiwa nguvu mwanao anaendeleza u MD.
 
Unalo sema ni kweli tuanzishe kampuni, ila akili za mbongo ni mtu wa kuridhika haraka na mtu wa showoff sanaa, watumishi wengi dreams zao ni gari na nyumba tu.....hatuwezi kufikiria beyond ya hayo.
 
Ni kweli Kiswahili ni ujinga uliotukuka.Tunaouza vitabu Amazon na Lulu ni mashaidi.Koswahili kinaweza kukuua njaa.Ndio maana nakomaa na wanangu wasipite nilimopita.
Hao watoto wako unawafundisha ujinga tu.
 
Unajipa stress za bure ,hakuna sehemu umeshikwa kujiongeza ..Hapo south tu mko wengi ila mnamalizana wenyewe kwa wenyewe.

Acha unafiki wabongo wakikutana huko majuu wanakujiana sana bora wawe wachache ..Huku maofisini tu roho mbaya sembuse mkikutana majuu huko ...Kiufupi ukitaka kufanikiwa usitafute sababu ,anza hapo ulipo .
 
Ni kweli Kiswahili ni ujinga uliotukuka.Tunaouza vitabu Amazon na Lulu ni mashaidi.Koswahili kinaweza kukuua njaa.Ndio maana nakomaa na wanangu wasipite nilimopita.
uko sahihi mkuu. haya mambo huwezi kuyaelewa adi yakukute
 
uko sahihi mkuu. haya mambo huwezi kuyaelewa adi yakukute
Kuna kipengele wameanzisha Amazon kinaitwa Kindlevella (Kama sijakosea spelling)Unasimulia habari yoyote hata hadithi kwa vipande vipande kama tunavyofanya hapa Jf views wanaofuatilia ndio wanakuingizia Dollars unalipwa Ela nzuri tu.Shida hapo ni Lugha tu ni kiingereza tu.
 
Huyo anaishi mwaka 1985.

Badala awaze kutengeneza ajira. Ye ye anawaza kuajiriwa.

Na kama hao waajiri anao wataja wanahitaji watu wanao jua kiingereza kwanini wasiende zao Uingereza moja kwa moja kwa watu ambao ndio lugha Yao kabisa waje kwako we were ambae umefanya kujifunza?
biashara sio ya kila mtu shehe.
 
Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
🙁
 
Back
Top Bottom