Amba Samedi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2024
- 207
- 346
Wakenya wanazungumza Dictionary language: DIctionary English (ndo maana kufit kwenye mazingira ya kimataifa hawashindwi) na dictionary swahili (je wajua, maprofesa wengi wa Kiswahili marekani ni Wakenya na sio Watanzania)Mazoezi nje ya daasani unamanisaha nini?
Nani kawakataza kuzungumza nje ya darasani? hata kiswahili chenyewe wa Kenye kwenye international media wame-dominant kwasabb sifa moja ni kujua lugha mbili kiswahili na kiingereza ki-fasaha, watanzania hatuwezi tunajua tu kiswahili cha kuongea kuandika shida, kazi zetu nikutowa visababu vya kijinga kama vyakwako, mtanzania ni mtazania siku zote akili zake ndo hizohizo sijui Nyerere alituroga au?
Tanzania tunakosea katika umakini. Kiswahili tunachanganya R na L, A na Ha, na inatusumbua baadaye when it really matters.
Kwa taarifa yako, wakenya wengi wanastruggle katika uandishi wa Kiingereza. Kwa hiyo shida hii ipo both sides of the fence.
Mwisho, tunakimbilia ajira za kimataifa kwa sababu gani sasa? Tumeshindwa nini hapa nyumbani.