Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Asilimia kubwa? Rudia tena research yako, currently china na india ni moja ya nchi zenye wasomi wengi sanamimi nimekwambia asilimia kubwa na siyo mia, hata hapa kwetu private sector wengi wanajua kiingereza
Na hao baadhi wako europe and us wakisoma zaid au kuajiriwa