Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
😁😁Kuna mwingine aljazeera alikua anahojiwa kapinda kinouma
😁😁Kuna mwingine aljazeera alikua anahojiwa kapinda kinouma
Mashirika gani kwa mfanoTwende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Sera ya fisiemu watu wawe wajinga wawatawale vizuri!Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Twende mbele turudi nyuma bila Lugha hasa ya kiingereza, kupiga hatua ni kugumu mnomno. Kwakweli kuzuia hii Lugha isitumike Tangu chekechea mpaka vyuo imekua fulsa kwa wachache hasa ambao wanauwezo wa kuwapeleka watoto wao Shule zinazotumia Lugha ya kiingereza.Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Mkuu kwanini? Hahaha. Naongea nao sana wachina ni wazuri au tuseme ninao kutana nao ni wachina wa mjini sana!! Tooo frequent english speakers aseehWachina😀 ni bora ni msikilize Mtanzania akizungumza kiingereza ila sio mchina.
😆😆😆Watu wanaojadili mpira 24/7 lazima wataishia kucheza hapa hapa ligi za mchangani
kumekuwa na ujinga mwingi sana kwa mfano baada ya mechi ya jana ya simba na yanga uko makazini leo hamna kazi inafanyika zaidi ya kuongelea iyo mechiWatu wanaojadili mpira 24/7 lazima wataishia kucheza hapa hapa ligi za mchangani
That is trick lengo ni kuandaa Taifa la wajinga mbumbumbukumekuwa na ujinga mwingi sana kwa mfano baada ya mechi ya jana ya simba na yanga uko makazini leo hamna kazi inafanyika zaidi ya kuongelea iyo mechi
Hiyo mechi ni gov control kushusha pressure ya jamii, na wakishahama wanahama wotekumekuwa na ujinga mwingi sana kwa mfano baada ya mechi ya jana ya simba na yanga uko makazini leo hamna kazi inafanyika zaidi ya kuongelea iyo mechi
Field ya ndalichako na lugha wapi na wapi .Kwani Mtanzania anamzidi lipi Mrundi? unakuta PHD holder wa Tanzania hawezi hata kufanya presentation kwa kiingereza cha kawaida, kama unabisha neenda ukamhoji prof: Dalichako kwa kiingereza kama atakubali.
daah ona ng'ombe hii😤Field ya ndalichako na lugha wapi na wapi .
Watu waliopush sana kitumike kiswahili mashuleni had I chuo kikuu ni wale waliosoma enzi za kudai Uhuru kwa lugha ya kiingereza na wakapata nzuri wengine wakawa mawaziri.Baada ya azimio la arusha haohao wakaanza kushauri serikali kuanzisha masomo ktk shule kwa lugha ya kiswahili wakati watoto wao wakipelekwa kwenye shule zinazotumia lugha ya kiingereza.Hapo unaweza kuunganisha dotsTwende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Upo sahihi kabisa mkuu. Jamaa ni wabinafsi wana mentality ya kindezi kabisaHapo unaweza kuunganisha dots
Ndiyo umelifahamu hilo leo?Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli