Watanzania ni slow learners, wamedumaa physically na mentally yani! Sio lugha tu tupo nyuma katika kila kitu say michezo, sayansi, reaction time, critical thinking and analysis ya mambo, seriousness, utamaduni, elimu, afya, angalia hata miili yetu yani, vimtu vifupi vyembamba, vyepesi vina underweight au mafuta ya vitambi (siku hizi)
Otherwise nini tunafanya vizuri? Ufisadi labda tena wa kijinga kabisa, isingekuwa kubebwa na ccm watu wangefungwa sana, lakini kwa mfumo wa ccm na pia kwa kuwa mahakimu wetu na majaji pia wanatoka ndani ya mfumo huohuo wa ugoigoi hamna wakili wala jaji anaweza kumfunga tu. Hatuna mchango wowote wa maana kwa maendeleo ya dunia zaidi ya ngono na ushabiki wa vita, yanga na simba na sisiemu
Tazama vituko huko kwenye michezo, siasa, baraza la mitihani (kila wakiona watu wamefeli badala ya kuboresha elimu wanapanua goli) tazama wasomi wetu wanataka kuitwa na mavyeo tu ya phd, uprof nenda kaangalie mchango wao utachoka, nenda mahospitali tazama quality ya madaktari wetu na watumishi wengine, tazama tunapolaza wagonjwa kila kina ni masikitiko tu.
Nenda kwa maengineer wetu angalia kazi zao, mwaka wa 60 wa uhuru, bado hatuwezi kujenga barabara zetu na madaraja lazima tuwaite wachina na kampuni za ujenzi ukiambiwa za wazawa ni wahindi (ndio wazawa wenyewe)
Wapi mkuu kuna unafuu?? Sio lugha tu ndugu, tunasoma in English tangu form one hadi pHd lkn ukisikia hiyo inglishi yetu utachooooka ya maprof wanaotufundishia watoto wetu
Sorry kwa mungu (kama yupo) tumeonewa sana, tumekuwa vipofu nyumba nzima ndo mana **** mpumbavu mmoja hapa anatumbia rizimoko atakua rais baada ya mama yao (such a medicre fella)