Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,793
- 4,935
Juha ni wewe hata kuandika ujui hutaweza kiingereza.Mpuuzi.Soma Tena ulichoandika ndio utajua wewe ulivyo Juha.Wewe ni Juha.
Lea na watogo wako wawe majuha
Juha ni wewe hata kuandika ujui hutaweza kiingereza.Mpuuzi.Soma Tena ulichoandika ndio utajua wewe ulivyo Juha.Wewe ni Juha.
Lea na watogo wako wawe majuha
Huwajui wakongo hao hata mkenya hafikii hustle zaolicha ya kutojua kiingereZa Pia Akili zetu watanzania ni ndogo sana tuna average IQ, mbongo na Mkongo man elewa zao haziachani sanaa, wale wanawaza muziki sisi tunawaza mpira na bongo freva.
😆😆kweliMchawi ni yule mjinga alieamua ili taifa tutumie kiswahili katika elimu yetu
Yule nyo ko kazika ndoto za watu wengi sana
Kiingereza ni lugha kama.lugha nyingine.Juha ni wewe hata kuandika ujui hutaweza kiingereza.Mpuuzi.Soma Tena ulichoandika ndio utajua wewe ulivyo Juha.
Eh na bado humu wanakosea kosea kuandikaMnatuchanganya mara tukienzi kiswahili, mara kutokujua kiingereza kunatukosesha ajira.
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Mkuu wewe mbona hata hiki kiswahili kinakupiga chenga.Naona kuandika tu Lugha ya kiswahili ni Shida.Unataka shindana na Mimi mbobezi wa FONETIKi MATAMSHI.Kiswahili ni kifungo.Huwezi jifananisha na Kichina,kijerumani,kirusi n.k wenye hizo Lugha walishakuwa na Nguvu kwenye huu ulimwengu.Sasa wewe una nini mpaka Leo unakunya polini.Miaka zaidi ya 60 unahamasishwa kujisaidia Chooni.Kiingereza ni lugha kama.lugha nyingine.
Wachina na wazunvu wanajifunza Kiswahili, subiri waje kufundisha Kiswahili mitoto yao mibolizozo.
Maana hamjitambui
Kabisa alf wanaplan ya kubadilisha masomo ya secondary ya kiswahiliHalafu kuna majinga yanatetea kiswahili kifundishie level zote za elimu
Na bahati mbaya zaidi wanaofanya hiyo mipango sasa watafute watoto wao waliko.Kabisa alf wanaplan ya kubadilisha masomo ya secondary ya kiswahili
Ulivyo mpumbavu unafikiri lugha ngeni ndio mwisho wa matatizo yako.Mkuu wewe mbona hata hiki kiswahili kinakupiga chenga.Naona kuandika tu Lugha ya kiswahili ni Shida.Unataka shindana na Mimi mbobezi wa FONETIKi MATAMSHI.Kiswahili ni kifungo.Huwezi jifananisha na Kichina,kijerumani,kirusi n.k wenye hizo Lugha walishakuwa na Nguvu kwenye huu ulimwengu.Sasa wewe una nini mpaka Leo unakunya polini.Miaka zaidi ya 60 unahamasishwa kujisaidia Chooni.
Unaona ulivyo punguani sasa.Hapa hatuzungumzii matatizo ya nchi,tunazungumzia fursa ya Lugha kwenye uwanja wa ajira kati ya Kiswahili na Kiingereza.Tafuta watu wa kuzungumza nao Mimi sio level yako🚮Ulivyo mpumbavu unafikiri lugha ngeni ndio mwisho wa matatizo yako.
Kwa taarifa yako wewe zuzu, Sierra Leone, Malawi, Zambia, Nigeria wanazungumza Kiingereza na wana matatizo tani 2,000.
Mkuu, hii ni Kenya?Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenya , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079
NdioMkuu, hii ni Kenya?
Unataka kutuaminisha kwamba Mcongo man Iko juu kwa Watanzania kweli? Hao wanao hustle ni wachache ila wengi akili Zao zimeganda shule hawaendi kazi hawataki na waza kuvaa vizuri kuremba na muziki, ndo asili ya Mcongo man.Huwajui wakongo hao hata mkenya hafikii hustle zao
Muweke mkongo kwenye level zake.
Wazo zuri. Mi ni mtanzania niliyesomea kenya maisha yote. Nakuambia hivi: Tatizo ni practice. Nje ya darasa, Mtanzania hana mazoezi ya kiingereza. Na anaanza kushindwa hapoo. There's nothing wakenya wanayo ambayo sisi hatuna. Nimekutana na watanzania wachache ambao walijengewa tabia ya kusoma vitabu na kujiamini na kuzungumza mapema. Moto wa kuotea mbali. Tanzania tunaweza. Tujenge mazoezi, basi.Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Naheshimu mawazo Yako ila ukikaa Cape town ,Paris ,na hata hapo Nairobi utajua mkongomani anafukuza mwizi kimya kimya hao wanatumia talent zao kupiga life hizo ulizozitaja ni life skills za muhimu sana lakini ukienda Belgium jamaa ni malecture wamiliki wa maduka ma accountants n.k nasema nilichoona mkongo ni surviversUnataka kutuaminisha kwamba Mcongo man Iko juu kwa Watanzania kweli? Hao wanao hustle ni wachache ila wengi akili Zao zimeganda shule hawaendi kazi hawataki na waza kuvaa vizuri kuremba na muziki, ndo asili ya Mcongo man.
Fursa gani, zaidi ya ujinga.Unaona ulivyo punguani sasa.Hapa hatuzungumzii matatizo ya nchi,tunazungumzia fursa ya Lugha kwenye uwanja wa ajira kati ya Kiswahili na Kiingereza.Tafuta watu wa kuzungumza nao Mimi sio level yako🚮
Mazoezi nje ya daasani unamanisaha nini?Wazo zuri. Mi ni mtanzania niliyesomea kenya maisha yote. Nakuambia hivi: Tatizo ni practice. Nje ya darasa, Mtanzania hana mazoezi ya kiingereza. Na anaanza kushindwa hapoo. There's nothing wakenya wanayo ambayo sisi hatuna. Nimekutana na watanzania wachache ambao walijengewa tabia ya kusoma vitabu na kujiamini na kuzungumza mapema. Moto wa kuotea mbali. Tanzania tunaweza. Tujenge mazoezi, basi.
Kiswahili wame-dominate wapi?Mazoezi nje ya daasani unamanisaha nini?
Nani kawakataza kuzungumza nje ya darasani? hata kiswahili chenyewe wa Kenye kwenye international media wame-dominant kwasabb sifa moja ni kujua lugha mbili kiswahili na kiingereza ki-fasaha, watanzania hatuwezi tunajua tu kiswahili cha kuongea kuandika shida, kazi zetu nikutowa visababu vya kijinga kama vyakwako, mtanzania ni mtazania siku zote akili zake ndo hizohizo sijui Nyerere alituroga au?